Nimechukizwa na Urasimu uliofanyika ndani ya Democratic Kumpitisha Hillary... kutokea hapo nimeshindwa kuendelea kucutiwa na siasa za Mrengwa huo ....pia uongozi uliotarajiwa kufanya VizurI kabisa wa Barack Obama chini ya muamvuli wa Democratic hatimae haujatimiza matarajio hayo.
Donald Trump alionekana Mpayukaji,dikteta na Mwnye Majidai ,lakini Upepo wa Siasa sasa unaonekana kubadika na kumfanyia aonekane mwnye kusema Ukweli na kutambua Mahitaji ya wamerekani wengi ,kaonekana si mnafiki na haogopi kusema kitu hata kama kina maslahi na Dini au Jamii fulani ilimradi anasisimamia haki .
Pamoja ma nguvu kubwa inayotumia na watu Maarufu ndaji ya Democratic ikiwa ni pamoja na Mke wa Raisi Obama ,Mama Michelle Obama pamoja na mme we Hillary na fomer president wa nchi hiyi Ndg. Bill Clinton ... bado kunaonekana mpasuko mkubwa saana baina ya wanachama wa Demokratic kutokana na Urasimu uliodunguliwa na taasisi Wikileaks ,wengi wakimsupport Ndg. Bernie Sanders ambaye kaonekana Kushindwa ndani ya democratic kwa dhuluma na Urasimu wa baadhi ya viongozi wa chama hicho .
Katika hatua za awali kabisa ,mpasuko huo umeonyesha kua na matokea Hasi kwa upande wa Hillary Clinton , mgawanyiko wa Kura za wafuasi wa chama hicho.
Kujiuzulu pia kwa kiongozi wa juu kabisa wa chama hicho katika hatua hii kutaleta madhara makubwa saana .
Maana yake ni kwamba , uwezekano wa Bwn.Trump kuongoza kura hizi za maoni na hata kuibuka mshindi ni mkubwa .
Trump amaekua akikumbwa na Kashafa kibao ikiwa ni pamoja na Kauki zake zinazoonyesha kuwakera wengi ,ila msimamo wake kwa jambo analoliongea umeendelea kumletea umaarufu na kumfanya aaonekane kweli ana dhamira ya dhati ya kuliongoza taifa la marekani kulitoa pale lilipo achwa na Baraka Obama na Kulifikisha mahala Salama.
Kwa sasa unawenza Kumfananisha Donald Trump na Raisi wa Tanzania .Ndg. John Pombe Magufuli , kwa misimamo mikali yenye tija kwa taifa la Tanzania .