Donald Trump anaongoza kwa 5% dhidi ya Clinton

Donald Trump anaongoza kwa 5% dhidi ya Clinton

Nimechukizwa na Urasimu uliofanyika ndani ya Democratic Kumpitisha Hillary... kutokea hapo nimeshindwa kuendelea kucutiwa na siasa za Mrengwa huo ....pia uongozi uliotarajiwa kufanya VizurI kabisa wa Barack Obama chini ya muamvuli wa Democratic hatimae haujatimiza matarajio hayo.
Donald Trump alionekana Mpayukaji,dikteta na Mwnye Majidai ,lakini Upepo wa Siasa sasa unaonekana kubadika na kumfanyia aonekane mwnye kusema Ukweli na kutambua Mahitaji ya wamerekani wengi ,kaonekana si mnafiki na haogopi kusema kitu hata kama kina maslahi na Dini au Jamii fulani ilimradi anasisimamia haki .
Pamoja ma nguvu kubwa inayotumia na watu Maarufu ndaji ya Democratic ikiwa ni pamoja na Mke wa Raisi Obama ,Mama Michelle Obama pamoja na mme we Hillary na fomer president wa nchi hiyi Ndg. Bill Clinton ... bado kunaonekana mpasuko mkubwa saana baina ya wanachama wa Demokratic kutokana na Urasimu uliodunguliwa na taasisi Wikileaks ,wengi wakimsupport Ndg. Bernie Sanders ambaye kaonekana Kushindwa ndani ya democratic kwa dhuluma na Urasimu wa baadhi ya viongozi wa chama hicho .

Katika hatua za awali kabisa ,mpasuko huo umeonyesha kua na matokea Hasi kwa upande wa Hillary Clinton , mgawanyiko wa Kura za wafuasi wa chama hicho.
Kujiuzulu pia kwa kiongozi wa juu kabisa wa chama hicho katika hatua hii kutaleta madhara makubwa saana .

Maana yake ni kwamba , uwezekano wa Bwn.Trump kuongoza kura hizi za maoni na hata kuibuka mshindi ni mkubwa .

Trump amaekua akikumbwa na Kashafa kibao ikiwa ni pamoja na Kauki zake zinazoonyesha kuwakera wengi ,ila msimamo wake kwa jambo analoliongea umeendelea kumletea umaarufu na kumfanya aaonekane kweli ana dhamira ya dhati ya kuliongoza taifa la marekani kulitoa pale lilipo achwa na Baraka Obama na Kulifikisha mahala Salama.

Kwa sasa unawenza Kumfananisha Donald Trump na Raisi wa Tanzania .Ndg. John Pombe Magufuli , kwa misimamo mikali yenye tija kwa taifa la Tanzania .
Ila unajua marekani ina wenyewe...hawa wanaosimama jukwaani hua ni shoo tu kwa publicity but the reality wenyewe wanajua tangu miaka 10 nyuma yalishapangwa, kwa hio bahati mbaya ikatokea akaingia ambae sio chaguo lao kama basi hio mistake inaweza kutokea basi hata miujiza kama ile ya J.F.Kennedy yawezekana pia
Ni wapi nimeandika mimi ni expert wa siasa za Marekani?
 
D.Trump!
​
Mpaka leo hii vyanzo vya habari vya CNN vimetangaza kwamba D.Trump yuko mbele kwa 5% kwenye kura za maoni,
Trump 44%
Clinton 39%
​

Habari ndiyo hiyo Wamarekani wamechoshwa na sasa wanataka mabadiliko ya kweli kama tunayoyashuhudia wenzao Watanzania chini ya Raisi Magufuli!



Trump bounces into the lead - CNNPolitics.com
Mabadiliko yapi hayo yaliyopatikana tangu awe rais?
 
1470038042745.jpg
 
  • Thanks
Reactions: MTK
D.Trump!​
Mpaka leo hii vyanzo vya habari vya CNN vimetangaza kwamba D.Trump yuko mbele kwa 5% kwenye kura za maoni,
Trump 44%
Clinton 39%
​

Habari ndiyo hiyo Wamarekani wamechoshwa na sasa wanataka mabadiliko ya kweli kama tunayoyashuhudia wenzao Watanzania chini ya Raisi Magufuli!



Trump bounces into the lead - CNNPolitics.com

Leo 2/8/16; HC is 9% points ahead of DT, The Village Pumpkin!!
 
Back
Top Bottom