Wamarekani hawawezi kukiacha chama kimoja madarakani kwa zaidi ya vipindi viwili, kwa mtu anayetazama mambo kwa kina Trump is next US President.
Ni wapi nimeandika mimi ni expert wa siasa za Marekani?Naona umekuwa expert wa siasa za wamarekani?!
Ingawa sipingani na Wewe Moja kwa Moja, lakini kuna hiki kitu tuwe tunakitilia maanani...kwamba level of development between Tanzania and USA ...ni tofauti!!! Kwa kuwa hivyo ndivyo ilivyo...ukiwa USA hayo mambo like roads, electricity, bridges and the like...walishafanya muda mrefu!!! Lakini huku tuko in progress..kwa hiyo wale Kule USA lasima Sera zao ziwe tofauti na za kwetu! Na ukija swala la Sera ya/za mambo ya kigeni pia kule ni swala ambalo linachukuliwa kwa uzito sana wakati Wa kampeni kutokana na kwamba USA ni taiga lenye ushawishi kwenye mataifa mengi...!!! Huku tunapambana rule vipi na tuvae vipi...lakini Wa kule walishapita hiyo level wako far ahead, Sera haziwezi kufanana mkuu kwa sababu mbali mbali.Yani unataka kuifananisha nchi isiyo na kipindupindu wala kwashakoo, raia wote wanapata maji safi na salama, na swala la barabara na madaraja kwao siyo ajenda ya uchaguzi wala umeme na Tanzania ya Magufuli?
Inawezekana akili zako umezifungia kabatini kazichukuwe kwanza ukirudi ndio tuendelee na mjadala.
Nice reply..Yani unataka kuifananisha nchi isiyo na kipindupindu wala kwashakoo, raia wote wanapata maji safi na salama, na swala la barabara na madaraja kwao siyo ajenda ya uchaguzi wala umeme na Tanzania ya Magufuli?
Inawezekana akili zako umezifungia kabatini kazichukuwe kwanza ukirudi ndio tuendelee na mjadala.
Una uhakika gani na hili?CNN ni pro-Republicans hata wakati wa Obama walikuwa wakimpa nafasi finyu wakati wote
KAKA ACHA KUMFANANISHA TRUMP NA RAIS WETU MPENDWA JPM. KIPENDE CHAKO NA UWE NA UZALENDO. JPM KABAGUA NANI??? SERA NI TOFAUTI KABISA KAKA!!Nimechukizwa na Urasimu uliofanyika ndani ya Democratic Kumpitisha Hillary... kutokea hapo nimeshindwa kuendelea kucutiwa na siasa za Mrengwa huo ....pia uongozi uliotarajiwa kufanya VizurI kabisa wa Barack Obama chini ya muamvuli wa Democratic hatimae haujatimiza matarajio hayo.
Donald Trump alionekana Mpayukaji,dikteta na Mwnye Majidai ,lakini Upepo wa Siasa sasa unaonekana kubadika na kumfanyia aonekane mwnye kusema Ukweli na kutambua Mahitaji ya wamerekani wengi ,kaonekana si mnafiki na haogopi kusema kitu hata kama kina maslahi na Dini au Jamii fulani ilimradi anasisimamia haki .
Pamoja ma nguvu kubwa inayotumia na watu Maarufu ndaji ya Democratic ikiwa ni pamoja na Mke wa Raisi Obama ,Mama Michelle Obama pamoja na mme we Hillary na fomer president wa nchi hiyi Ndg. Bill Clinton ... bado kunaonekana mpasuko mkubwa saana baina ya wanachama wa Demokratic kutokana na Urasimu uliodunguliwa na taasisi Wikileaks ,wengi wakimsupport Ndg. Bernie Sanders ambaye kaonekana Kushindwa ndani ya democratic kwa dhuluma na Urasimu wa baadhi ya viongozi wa chama hicho .
Katika hatua za awali kabisa ,mpasuko huo umeonyesha kua na matokea Hasi kwa upande wa Hillary Clinton , mgawanyiko wa Kura za wafuasi wa chama hicho.
Kujiuzulu pia kwa kiongozi wa juu kabisa wa chama hicho katika hatua hii kutaleta madhara makubwa saana .
Maana yake ni kwamba , uwezekano wa Bwn.Trump kuongoza kura hizi za maoni na hata kuibuka mshindi ni mkubwa .
Trump amaekua akikumbwa na Kashafa kibao ikiwa ni pamoja na Kauki zake zinazoonyesha kuwakera wengi ,ila msimamo wake kwa jambo analoliongea umeendelea kumletea umaarufu na kumfanya aaonekane kweli ana dhamira ya dhati ya kuliongoza taifa la marekani kulitoa pale lilipo achwa na Baraka Obama na Kulifikisha mahala Salama.
Kwa sasa unawenza Kumfananisha Donald Trump na Raisi wa Tanzania .Ndg. John Pombe Magufuli , kwa misimamo mikali yenye tija kwa taifa la Tanzania .
Nimechukizwa na Urasimu uliofanyika ndani ya Democratic Kumpitisha Hillary... kutokea hapo nimeshindwa kuendelea kucutiwa na siasa za Mrengwa huo ....pia uongozi uliotarajiwa kufanya VizurI kabisa wa Barack Obama chini ya muamvuli wa Democratic hatimae haujatimiza matarajio hayo.
Donald Trump alionekana Mpayukaji,dikteta na Mwnye Majidai ,lakini Upepo wa Siasa sasa unaonekana kubadika na kumfanyia aonekane mwnye kusema Ukweli na kutambua Mahitaji ya wamerekani wengi ,kaonekana si mnafiki na haogopi kusema kitu hata kama kina maslahi na Dini au Jamii fulani ilimradi anasisimamia haki .
Pamoja ma nguvu kubwa inayotumia na watu Maarufu ndaji ya Democratic ikiwa ni pamoja na Mke wa Raisi Obama ,Mama Michelle Obama pamoja na mme we Hillary na fomer president wa nchi hiyi Ndg. Bill Clinton ... bado kunaonekana mpasuko mkubwa saana baina ya wanachama wa Demokratic kutokana na Urasimu uliodunguliwa na taasisi Wikileaks ,wengi wakimsupport Ndg. Bernie Sanders ambaye kaonekana Kushindwa ndani ya democratic kwa dhuluma na Urasimu wa baadhi ya viongozi wa chama hicho .
Katika hatua za awali kabisa ,mpasuko huo umeonyesha kua na matokea Hasi kwa upande wa Hillary Clinton , mgawanyiko wa Kura za wafuasi wa chama hicho.
Kujiuzulu pia kwa kiongozi wa juu kabisa wa chama hicho katika hatua hii kutaleta madhara makubwa saana .
Maana yake ni kwamba , uwezekano wa Bwn.Trump kuongoza kura hizi za maoni na hata kuibuka mshindi ni mkubwa .
Trump amaekua akikumbwa na Kashafa kibao ikiwa ni pamoja na Kauki zake zinazoonyesha kuwakera wengi ,ila msimamo wake kwa jambo analoliongea umeendelea kumletea umaarufu na kumfanya aaonekane kweli ana dhamira ya dhati ya kuliongoza taifa la marekani kulitoa pale lilipo achwa na Baraka Obama na Kulifikisha mahala Salama.
Kwa sasa unawenza Kumfananisha Donald Trump na Raisi wa Tanzania .Ndg. John Pombe Magufuli , kwa misimamo mikali yenye tija kwa taifa la Tanzania .
Aoma na uelewe wacha kukurupuka .. kuna mahala nimesema Trump ni mbaguzi . .. au kusema Magufuli ni mbaguzi .KAKA ACHA KUMFANANISHA TRUMP NA RAIS WETU MPENDWA JPM. KIPENDE CHAKO NA UWE NA UZALENDO. JPM KABAGUA NANI??? SERA NI TOFAUTI KABISA KAKA!!
Kumbe hufuatilii kabisa sera za Trump binti. Hujasikia sera zake dhidi ya Waislam? Waafrika kama wewe kwamba ni wavivu, hodari kwenye mapenzi na walafi? kwamba inabidi tutawaliwe tena na wakoloni? Fuatilia mambo binti watakucheka watu!! Shauri yako!Aoma na uelewe wacha kukurupuka .. kuna mahala nimesema Trump ni mbaguzi . .. au kusema Magufuli ni mbaguzi .
Wacha uvivu wa kusoma .
Ww utaziita sera za Ubaguzi ..ila wamerekani wanajua ni nn tatizo linalowasumbua .Kumbe ufuatilii kabisa sera za Trump binti. Hujasikia sera zake dhidi ya Waislam? Waafrika kama wewe kwamba ni wavivu, wazuri kwenye mapenzi na hodarin kwa kula msosi? kwamba inabidi tutawaliwe tena na wakoloni? Fuatilia mambo binti watakucheka watu!! Shauri yako!
Na kumbuka Ufananisho ninaoufananisha Hapo kati ya Donald Trump na JPM ni katika Misimamo ya kike wanachokisimamia . .Kumbe hufuatilii kabisa sera za Trump binti. Hujasikia sera zake dhidi ya Waislam? Waafrika kama wewe kwamba ni wavivu, hodari kwenye mapenzi na walafi? kwamba inabidi tutawaliwe tena na wakoloni? Fuatilia mambo binti watakucheka watu!! Shauri yako!
Jifunze pia kua na source nzuri za information Epsecially katika.maswala ya siasa ..unaposema Donald kaitukana Afrika .. nadhani umeitoa kwenye Ile Capture ya FB iliyokua inazunguka kwnye social media .Kumbe hufuatilii kabisa sera za Trump binti. Hujasikia sera zake dhidi ya Waislam? Waafrika kama wewe kwamba ni wavivu, hodari kwenye mapenzi na walafi? kwamba inabidi tutawaliwe tena na wakoloni? Fuatilia mambo binti watakucheka watu!! Shauri yako!
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] umeanza vizuri ila umeharibi kufananisha rais wa dunia na rais wetuNimechukizwa na Urasimu uliofanyika ndani ya Democratic Kumpitisha Hillary... kutokea hapo nimeshindwa kuendelea kucutiwa na siasa za Mrengwa huo ....pia uongozi uliotarajiwa kufanya VizurI kabisa wa Barack Obama chini ya muamvuli wa Democratic hatimae haujatimiza matarajio hayo.
Donald Trump alionekana Mpayukaji,dikteta na Mwnye Majidai ,lakini Upepo wa Siasa sasa unaonekana kubadika na kumfanyia aonekane mwnye kusema Ukweli na kutambua Mahitaji ya wamerekani wengi ,kaonekana si mnafiki na haogopi kusema kitu hata kama kina maslahi na Dini au Jamii fulani ilimradi anasisimamia haki .
Pamoja ma nguvu kubwa inayotumia na watu Maarufu ndaji ya Democratic ikiwa ni pamoja na Mke wa Raisi Obama ,Mama Michelle Obama pamoja na mme we Hillary na fomer president wa nchi hiyi Ndg. Bill Clinton ... bado kunaonekana mpasuko mkubwa saana baina ya wanachama wa Demokratic kutokana na Urasimu uliodunguliwa na taasisi Wikileaks ,wengi wakimsupport Ndg. Bernie Sanders ambaye kaonekana Kushindwa ndani ya democratic kwa dhuluma na Urasimu wa baadhi ya viongozi wa chama hicho .
Katika hatua za awali kabisa ,mpasuko huo umeonyesha kua na matokea Hasi kwa upande wa Hillary Clinton , mgawanyiko wa Kura za wafuasi wa chama hicho.
Kujiuzulu pia kwa kiongozi wa juu kabisa wa chama hicho katika hatua hii kutaleta madhara makubwa saana .
Maana yake ni kwamba , uwezekano wa Bwn.Trump kuongoza kura hizi za maoni na hata kuibuka mshindi ni mkubwa .
Trump amaekua akikumbwa na Kashafa kibao ikiwa ni pamoja na Kauki zake zinazoonyesha kuwakera wengi ,ila msimamo wake kwa jambo analoliongea umeendelea kumletea umaarufu na kumfanya aaonekane kweli ana dhamira ya dhati ya kuliongoza taifa la marekani kulitoa pale lilipo achwa na Baraka Obama na Kulifikisha mahala Salama.
Kwa sasa unawenza Kumfananisha Donald Trump na Raisi wa Tanzania .Ndg. John Pombe Magufuli , kwa misimamo mikali yenye tija kwa taifa la Tanzania .
Sentensi ya mwisho ndio inathibitsha kwanini umshabikieHuyo jamaa mimi ningekuwa Mmarekani hata ningejitolea kumfanyia Kampeni Nyumba kwa Nyumba kama inaruhusiwa huko, ni moja kati ya wale watu ambao wanaongea, unamskikliza na unaona kabisa kwamba yanatoka moyoni!
Halafu isitoshe anampenda Yesu siyo kama Obama, Clinton &Co.!
Wabaguzi,wadini,roho chafu huwakosi humo#teamtrump# nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi tu