Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,786
D.Trump!
marekani hawachagui jinsia wanachagua raisMarais wote hao lakini hakuna mwanamke...duh!
Kwahiyo wapi wanapochagua jinsia?marekani hawachagui jinsia wanachagua rais
Kwani jigijigi inamhusu!Marais wote hao lakini hakuna mwanamke...duh!
Barbarosa Wewe si ndiyo uliandika kuwa bernie Sanders ndiye raisi ajaye wa Marekani?
Sasa kwasababu umesema Trumo ndiye raisi ajaye wa Marekani basi najua hawezi shinda, wewe hujawahi kuwa upande wa ushindi hata siku moja!
Ushamroga mzee wa watu asipate uraisi tena.
Kwahiyo wapi wanapochagua jinsia?
Raisi wa 45 wa USA D.Trump akiiingia ukumbuni, ni hatariiii! Wana USA wameamka na wanaitaka kuikomboa nchi yao ktk kwa manti christ ma elite!D.Trump!
Barbarosa, hebu tupe na habari za mkewe Trump na jinsi alivyo-plagiarize hotuba ya Michelle..........
BongoKwahiyo wapi wanapochagua jinsia?
Uulizwe wewe unayeshangaa jinsia kwenye uraisKwahiyo wapi wanapochagua jinsia?
Sasa mie niulizwe nini wakati mie nashangaa tu kuwa marais wote hao haikuwahi kutokea mwanamke ambaye wamarekani wakaona anafaa kuwa rais.Uulizwe wewe unayeshangaa jinsia kwenye urais
Raisi wa 45 wa USA D.Trump akiiingia ukumbuni, ni hatariiii! Wana USA wameamka na wanaitaka kuikomboa nchi yao ktk kwa manti christ na ma elite!D.Trump!