youngdonats18
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 685
- 444
Nyota yako ya u-underground kwakila sectorseems kama inakutesa ivv..fanya yako,kama umeshindwa kukubali mabadilikooHeeh mungu wangu yani sijawahi ona wimbo na collabo bovu kama hili, hasa sauti ya Mondy haisikiki vizur, yani kiufupi sijaelewa kabisa huu wimbo huyu jamaa stress zinamuua kwakwel mbona anaporomoka kiasi hiki wakuu? Huyu siyo yule Mondy wa Number 1 nayemjua mimi sema mashabiki mandazi wanasifia ujinga lakin binafsi sio siri najuta hata kumaliza bundle langu kuangalia video mbovu kama hii, heri hata PNC au mrisho mpoto kuliko huyu jamaa