Chipolopolo
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 1,432
- 746
Binti:Hivi kinachokufanya unitolee mimacho yako ni nini?M-kaka:Nimekutaka,umenikataa ukasema nitakula kwa macho. Mimi😀omo zege macho mkombozi wangu nnakula nnashiba kwa macho...kwanini unkataliye wakati bado ntakula chochote ntakacho hata kwa macho...?