Domo zege linatesa moyo wangu

immasakha

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
489
Reaction score
282
Ni takribani miaka 28 tangia kuzaliwa kwangu, imefika hatua sasa ninahitaji mwenzangu wa kuishi nae.

Kila nikijaribu kutaka kumtongoza msichana nashindwa hata nianzeje, nikijaribu kusalimia hata salam kuitikia naona kama ninalazimisha.

Nianzeje ili na mimi niweze kutongoza na kufanikiwa?
 
Aisee miaka 28 unaogopa kutongoza? Kwa hiyo we bikra mkuu au huko nyuma ulikua unasaidiwa.
Ukweli mm co bikra na nilieanza nae ckumtongoza bali tulikutana ktk meli tukalala chimba kimoja kitanda kimoja akayaanzisha mm nikamaliza
 
Naomba kufundishwa kumtongoza demu ambae cmjui na wala hatujawahi kuonana so kwa mara ya kwnza nianzeje
 
Kwakuwa lengo lako ni kuoa kabisa na ndio kinachokusumbua kwa dhati. Na ukiwa nae ndoani so linaisha, usiumize kichwa, we fata mila desturi bora za kwenu, kiafrika. Ukimpenda, anza na hatua za kiafrika zinazoshirikisha jamii, wazazi nk au unaona so kumwagwa ktk hatua hiyo?

Usiogope, kwa dunia na life hili kukataliwa pia ni neema tu. Unatest kwingine.
 


Aloohhhh pole sana mkuu,
Hakuna kitu ninachoonaga rahisi kama hiki.
 
Acha uoga kijana mtoto wa kiume sifa yake ni kujiamini umemuona binti na unampenda mfate mweleze kwamba unampenda mambo yatakuwa poa,ona sisi wenzako umri umesha tutupa mkono lakini bado tunajilia vitamu
hahhaaaaa safi sana mkuu.
 
Inabidi ujue udhaifu wake alafu unatumia mwanya huo una mu attack hapo hapo yaani utakula mzigo kilain kabisaaaaa
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] nenda kwa mganga wa kienyeji atakusaidia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…