Azimio Jipya
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 3,363
- 1,135
Naskia Wanawake wa Kikuria kule Mara asipopigwa na mumuwe anaona kama vile mume hampendi!
Hadi lini Western civilization will stop lecturing to we Africans how we should love our women? Do we as Africans need to read a book how to love each other? Remember we have been living and loving each other for centuries!!
Whaaat?!
Hiyo conxlusion namba moja siikubali. Huwezi kumpenda mtu na kisha ukampiga na kuendelea kumpenda. Lakini above all ukishampiga mtu sidhani kama atakupenda ever again ( anaweza kubaki for security, status ama mali lakini sio upendo.)
Watu wanaopigwa na wanakataa kuchukua hatua ni kwa sababu mostly wameaminishwa kuwa walistahili kipigo. Kwa kweli kama kuna kitu ambacho sidhani naweza kutolerate ni physical and sexual assault. I feel hysterical even thinking of it! Kuna mtu anapigwa na mqenza wake na ukimuambia kuwa wewe hujawahi guswa haamini na anaona unasema uongo. Jamii imetubrainwash haswaa. Ni kama ilivyo ngumu kwa mwanaume kusema napigwa na mke wangu. Hatapata support hata kutoka polisi unless he is bleeding enough!
Ushapiga cha Arusha mchana? Mama yangu alininyuka sana enzi hizo na mpaka leo nampenda upeo. Na kama si kichapo chake mida hii labda ningekuwa Segerea nanyea ndoo. Kichapo saa nyingine kinasaidia mtu kurekebisha tabia.
Yani nikufumanie unalabuliwa kitandani kwangu afu nisikupe za uso? Ntakuchapa sana tu. Afu naweza kukusamehe vilevile na maisha yakasonga mbele.
Hun, huu naandika ni ukweli kabisa. Hata mimi niliamini kua mwanaume akimpiga mwanamke maana yake hampendi but unajikuta unaongea na mwanaume na unaona kua anampenda mwenzie na anajuta sana kufika alikofika na all he wants ni kurudisha mambo kama kawaida. He even tells you a series of resolutions he has taken to make sure it doesn't happen again. Ila sasa next time wanapata matatizo na anahisi mke wake is about to be right and him being wrong, ana ona ataweza kuyamaliza kwa intimidation na hatimae he becomes violent. Later ukiongea na wanaume walio saidiwa na wakajifunza how to deal with their vilent habits you realise that they were suffering too, somehow.
Hivi wewe naye Mwanaume
Hivi wakiitwa Wanaume na wewe utaenda
Wewe Mwanaume suruali tu
Wewe Baba Juma ulikuwa zamani sasa hivi umeshajiishia hata senti huna
Wanaume wapo kibao usinibabaishe tumekutana wote tukiwa na meno 32
Una hakika hawa watoto ni wako, usinitibue...achana na mimi
............................
CC: Asprin
Mwanamtoka pabaya
Kama tutaendelea kua nalo kwa muda basi naomba useme tu how we can minimize it, tunawezaje kuwasaidia hawa majeruhi? Na ni mazingira yapi hayo?
this is a statement that every little boy and gal should be taught.
hapo kwenye red, kwa mtoto mara nyingi ni yes ila kwa mtu mzima?????Ushapiga cha Arusha mchana? Mama yangu alininyuka sana enzi hizo na mpaka leo nampenda upeo. Na kama si kichapo chake mida hii labda ningekuwa Segerea nanyea ndoo. Kichapo saa nyingine kinasaidia mtu kurekebisha tabia.
Yani nikufumanie unalabuliwa kitandani kwangu afu nisikupe za uso? Ntakuchapa sana tu. Afu naweza kukusamehe vilevile na maisha yakasonga mbele.
hapo kwenye red, kwa mtoto mara nyingi ni yes ila kwa mtu mzima?????
jana tu, nilikuwa naongea na kakangu, ana binti mrembo sana ila yule binti sijui sababu demand yake ipo juu sana akakataa kabisa kusoma, yaani anakesha kwa mwanaume mmoja baada ya mwingine. Mashangazi tumesema saaaana tumeishia kutukanwa tuuuuu na binti..... yaani siku ikiwa zamu yako kuongea naye unapata kizunguzungu hujui sehemu ya kuanzia.
sasa kuna bouncer mmoja kajitolea kummiliki, hajatoa mahari wala nini, ila anamdhibiti balaa...... na anapoenda kinyume na matakwa yake anapata kipigo ni balaa..... sasa kuna siku nikawa naongea na binti hiyo siku alipata kipigo cha mbwa koko, nikamwuliza kwa nini anaendelea kukaa na huyo bouncer, akaniambia, ukitoa kipigo, hajawahi kupata mwanaume caring kama yule bouncer. na yeye akijiangalia, vipigo vyote anavyopata ni halali yake kabisaaaaaa maana bouncer alishatoa abc's za kuishi pamoja, na yeye anakiuka makusudi maana anaona anabanwa fulani......
kwa ufupi anampenda bouncer wake na anapenda kuendelea kuishi naye....
na tukiangalia trend ya vipigo inapungua siku baada ya siku...... kwa maana hiyo binti ameanza kurudi kwenye mstari ambao sisi kama wazazi tulishindwa kabisa kumrudisha. basi yule bouncer kawa rafiki wa familia nzima, na sisi watu wazima tumempa baraka za kutoa kichapo ila tu siku aking'oa jicho au kuvunja kiungo chake chochote basi hatutasita kumpeleka segerea.
Binti ananyooka kwa design hii sasa
mkwe ujue kabisa mimi sifagilii kabisa kipigo kwa mtu mzima......Ngoja niwaite King'asti, Roulette, platozoom Mwana Mtoka Pabaya, na mzee mwenzangu Dark City waje wasome hii yuziful post toka kwa mwanamke bora kabisa wa kiafrika.
Answer is Ngumi! Konde, Kichwa!!
Vipigo vinasaidia kurudisha nidhamu bana.
Mama yako alikunyuka kwa sababubulikuwa mtoto. Mtu mzima mnaongea. Kwa taarifa yako mtu unaemfumania ukimpiga atabadili mbinu tu ya kuzini. Anahama kituo. Labda ukiwa gentle itamsaidia kuona aibu.
Kwa hiyo cacico huwa anakudunda akigundua pm unazotongoza kina Mwali humu? Imesaidia uache?
Saa hizi i need encouragement kubadilika. Kipigo hakitanisaidia kujifunza manake kichwa ishakuwa ngumu hii.
mkwe ujue kabisa mimi sifagilii kabisa kipigo kwa mtu mzima......
hilo nieleweke kabisaaaaa
hata kipigo kwa mtoto sifagilii ndo maana sichapi bila sababu ya msingi.
ila inapotokea mtu anaadabishwa, hilo halina tatizo.
ila kama mimi hivi nina adabu safi, ukinipa kichapo aisee nitaenda tu kutafuta makao mengine, maana naona hapo kwako hapanifai tena
babu huyo binti ningekuwa na nguvu za kumweka makonde ningekuwa nafanya hivyo kila siku.....Kumbe una double standards mkubwa mwenzangu? Na kapitisha hukumu ya kichapo kwa huyo binti? Halafu kipimio cha tabia mbaya kinapatikana wapi?
mkwe ujue kabisa mimi sifagilii kabisa kipigo kwa mtu mzima......
hilo nieleweke kabisaaaaa
hata kipigo kwa mtoto sifagilii ndo maana sichapi bila sababu ya msingi.
ila inapotokea mtu anaadabishwa, hilo halina tatizo.
ila kama mimi hivi nina adabu safi, ukinipa kichapo aisee nitaenda tu kutafuta makao mengine, maana naona hapo kwako hapanifai tena
yaani wewe unayedanganya watu hapo hujawahi hata kumgusa mamam Kayaiii . .
Waogopa sana kichapo?
Hizi mambo za kuchapana zinategemea na mlivyo....jinsi mnavyoelewana (kama wenza).
Siafiki kupiga hadi kuumiza, ila kuna mazingira yanahitaji kakofi kamoja!
Sijawahi kufikia hatua hii, ila sioni kama ni impossible!
Asante sana kwa kupanua definition ya domestic violence. Nadhani masuali yangu ya mwanzo yanahusika pia hapa ingawa hatuwezi kupata jibu la uhakika hapa, but we can still share thoughts: Kwanini victims hawajitokezi? Kwanini pepetrators wanafanya hivo na ni kitu gani sisi kama jamii tunaweza kufanya ili kupunguza domestic violence around us?
Ni muhimu sana victim asiwe ndio responsible kwa yalio mtokea. Kuna familia ambapo binti anabakwa na wanaishia kumtuma hyo huyo binti aende boarding school au kijijini kwa kufunika ile aibu. Inakua as if she is punished for what people did to her. Hili linawafanya watoto wengine ndani ya faamilia wakae kimya pale wanapokutana na tatizo lile lile.
anajishaua tu huyu, huwa namdunda mpaka anajipupulia, mshauo tu! King'asti upo bestito!?Mama yako alikunyuka kwa sababubulikuwa mtoto. Mtu mzima mnaongea. Kwa taarifa yako mtu unaemfumania ukimpiga atabadili mbinu tu ya kuzini. Anahama kituo. Labda ukiwa gentle itamsaidia kuona aibu.
Kwa hiyo cacico huwa anakudunda akigundua pm unazotongoza kina Mwali humu? Imesaidia uache?
Saa hizi i need encouragement kubadilika. Kipigo hakitanisaidia kujifunza manake kichwa ishakuwa ngumu hii.