Dolla milioni 1 ni sawa na Tsh ngapi?

Dolla milioni 1 ni sawa na Tsh ngapi?

Huu uzi niliuweka ili kujua kiasi ambacho sina hakika kama ni kweli nimeshinda toka kwa TRUE MOVE AWARD ltd kutoka Thailand.
Ni wiki mbili zimepita sasa nipo katika mawasiliano nao kwa email juu ya ushindi huo na sasa ni mchakato wa kunitumia hizo pesa.
Cheti cha ushindi wamenitumia jana na sasa nasubir maelezo ya kupokea kitita ila bado sijawaamini na sijajua kwanini siwaamini.
 
Du!hongera mkuu!Lakini vipi hawajakudai kiasi chochote ku facilitate ku transfer fedha na vitu kama hivyo maana mh!
 
True move ltd ndio wahusika wangu hivyo wao wameingiza pesa katika account za blc (bank) ya huko thailand kwahiyo blc nanahitaj vitu kama certificate of award (tayari nimewatumia) ID card (ya shule au kazi or chochote) na fund release order
nikisha timiza hayo ndo ndani ya siku tatu watatranfer kwangu hiyo prize hawaja nambia nitume pesa.
 
Ukishatimiza vyote watakuambia utume kiasi flani cha hela kama charges maalum,na hapo ndipo utapeli utakapo mature i think!
 
Wakifikia hatua hiyo itakuwa ni mwisho wa kureply email zao.
 
Hapo kuwa makini sana, wakikuambia utume pesa tu et kwa ajili ya ku transfer hapo kimbia kabisa, na tena wanaweza kukwambia tuma laki 5 tu
 
1476158610667.png
wenzako wamelizwa huko
 
loooo nami naongeza swali tafadhali ,,kiwango gani kikubwa cha pesa zaidi ya trillion maaan cjawah xkia kiwango zaidi ya trillion ,pia trillion moja sawa na billion ngapi
 
Kwa leo inaweza kuwa ni 1,000,000x2175=2,175,000,000/-
Yaani 2.175bn/-
 
Back
Top Bottom