Dolla milioni 1 ni sawa na Tsh ngapi?

Dolla milioni 1 ni sawa na Tsh ngapi?

Pate_15

Senior Member
Joined
Oct 26, 2013
Posts
156
Reaction score
48
Habari jf!
Samahani, naomba kujulishwa....
Dola milioni moja ni sawa na shilingi ngapi za Ki-tanzania?
 
Wewe ndugu ufahamu wako ukoje? hili ni swali la kufungulia thread kweli? Kama una access ya network ya kuingilia JF utakosaje network ya hata kugoogle tu upate exchange rate? au hesabu za kuzidisha ni mgogoro? Kizazi hiki kilichozoea kutafuniwa kila kitu ni shida sana.
 
Kizazi balaa hiki, lakini si kosa lao, ni sisi wenyewe na elimu tunayowapatia, wengi tu utamkuta yupo ofisini lakini vitu vidogo tu anashindwa kupambanua
 
Ilitakiwa nifanye hivyo ila kunatatizo katika setting ya google hivyo wakati naendelea kurekebisha na hii ishu ni ya haraka ndipo nikahitaji msahada pia.

Mkuu ungenikosoa then mwisho ungenijibu ndo ingekuwa umenisaidia lakini hivi unanikomoa sijui...
Ni mtazamo tu
 
Wewe ndugu ufahamu wako ukoje? hili ni swali la kufungulia thread kweli? Kama una access ya network ya kuingilia JF utakosaje network ya hata kugoogle tu upate exchange rate? au hesabu za kuzidisha ni mgogoro? Kizazi hiki kilichozoea kutafuniwa kila kitu ni shida sana.

Ni haki yake ya kikatiba yakuongea na kusikilizwa, anaweza kukushtaki kama hujamskiliza
 
Ni haki yake ya kikatiba yakuongea na kusikilizwa, anaweza kukushtaki kama hujamskiliza
Mpaka amejibiwa tayari ameshasikilizwa. Ila tu naye ameelezwa kwa kuuliza kitu kisichohitaji kuulizwa sehemu kama hii. BTW, kajitetea hapo juu, google inamsumbua. Angeweka maelezo kwanini hawezi kuaccess alternative sources nani angemshangaa? he wasn't supposed to assume the abvious bhanaaaa
 
Usijekua umetumiwa msg na wale vichaa wa Nigeria wanaojifanya eti wazazi wao walikua matajiri ila kwa sasa ni yatima, wapo Senegal kituo cha kulelea wakimbizi.. :msela:
 
Sawa baba. Kuna mtu hapo juu kasema rate ni 1USD sawa na Tsh 1608. Hapana. Leo ni Tsh 1614 so kuna tofauti ya Tsh 6. Unaweza iona ndogo ila cheki balaa lake katika hayo mabilion yako:

Tsh 1,608,000,000 badala ya Tsh 1,614,000,000. Tofauti ya Tsh Million 6.
 
Usijekua umetumiwa msg na wale vichaa wa Nigeria wanaojifanya eti wazazi wao walikua matajiri ila kwa sasa ni yatima, wapo Senegal kituo cha kulelea wakimbizi.. :msela:

Me 2 nlpata hyo email,kumbe wale watu ni tapel!
 
Me 2 nlpata hyo email,kumbe wale watu ni tapel!

Ila kama ni mtoto wa Uswahilini hapa Tanzania, umekulia shida, the way mnavoenda tu utagundua hapa nataka kuibiwa. Ila hayana uwezo wa kuiba kichawi wala kwa technology.. Yaani speed yao ya kutype na kujieleza hadi pesa unatuma mwenyewe...
 
Back
Top Bottom