kinachorudi siyo rumi ya kale ni utawala mwngne utakaonena kutoka ardhi ya rumi.daniel 7;25 na ufunuo 17;1-4 ameweka wazi.ufunuo 17 anesema kisha nikaona mnyama mwekundu mwenye vichwa saba na pembe kumi akitokea baharini na juu yake ameketi mwanamke aliyevaa vazi nyekundu na zambarau.kumbuka
katika unabii
bahari ni nchi
mnyama ni utawala (
falme)
pembe ni tawala pia (mataifa)
vichwa ni milima
mwanamke ni kanisa
kwamaani hyo yohana anamzungumzia mnyama 4 wakutisha wenye pembe kumi aliyetabiriwa na daniel ktk daniel 7 ambayo ni dola ya kirumi.huyu mnyama akatoa mamlaka yake kwa pembe ndogo daniel 7;25.ukiangalia ufunuo 17 anasema tawala iliibuka juu ya nchi na juu ya tawala hyo kuna mwanamke(kanisa) ameketi juu yake.na huyu mwanamke yupo katlkati ya vichwa(milima) 7.