Hata iwe 5000 it doesn't affect me anymore, ntakupa mbinu ya kuyapuuza hayo mambo,
Serikali ikishindwa kutoa elimu bora mwanao mpeleke private
Serikali ikishindwa kuboresha public Transportation nunua ki passo chako,
Ikishindwa kuleta umeme, nunua solar
Ikishindwa kuleta maji nunua Sim Tank
Ikishindwa kupunguza mfumko wa bei chenji hela za madafu , weka hata nje ya nchi hela yako,
Kwa sisi tunaolipwa currency moja na Trump, Teresa May, Pep Guadiola, Mourinho, Obama ,
Nyani Ngabu
Hakuna mshtuko endeleleeni na madafu yenu