Dokta Slaa Kuwaumbua Nape na Kinana

Dokta Slaa Kuwaumbua Nape na Kinana

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
10,827
Reaction score
4,184
Dokta Slaa, Katibu Mkuu wa CHADEMA anakwenda Chunya. Anakwenda Makongolosi. Kuamsha waliolala. Kuna watu walilazwa usingizi kule na kina Nape na timu yake. Wameenda kule badala waeleze wananchi kwa nini ni maskini wakati Chunya ni tajiri wa madini ya dhahabu na uoto wa asili unaopatikana katika Bonde la Songwe.

kwanini wananchi wa chunya wamepigwa marufuku kulima pamba na madeni yao ya zamani hawajalipwa.

kwanini barabara ya Mkwajuni - Mbalizi haina barabara kwa miaka 50 wakati ni kilometa chache tu hata 100 hazifiki.

Badala yake Nape na 'mizigo' wenzie wakaishia kuvaa migolole na fimbo za wafugaji kuzuga wanapiga picha wamebeba matofali.

Dr. Slaa anaenda kutoa elimu bila ada. Nadhani sasa Chunya wataamka. maana maisha yamekuwa yakiwachapa kwa miaka 50 yote ya uhuru na bado hakieleweki kwa sababu ya kushabikia chama cha mizigo cha nape na kinana


Updates
=====
Sasa ni Rasmi Dokta Slaa anatua Mbeya na ataambatana na Sugu. ama hakika mbeya itapiga saluti kwa muda wa siku kadhaa maana hawa watu wapo mioyoni mwa wana-mbeya. watu wangu wa ukweli acheni siasa za maji-taka za ma-CCM wao huenda kwenye mikutano kuburudika kwa muziki na kushabikia watu.

Msikilizeni Dokta. huyo mtu adimu. unataka nini tena kutoka kwa mwanasiasa kama hukumsikiliza Dokta Slaa?! Jitokezeni siyo kwenda kushabikia tu. nendeni mkasililize Dokta anasema nini. sikilizeni jinsi maCCM walivogeuza majimbo ya wilaya ya chunya kuwa shamba la bibi. sasa mtu maalumu katika wakati maalumu anakuja.

M4C till I die!
 
inasikitisha kina nape na wenzake walitumia mamilioni ya padiem kwenda kuhadaa wananchi wa chunya.
 
Kwa maeneo yote yatakayofikiwa na Dr.Slaa hiyo ni nafasi nzuri kwenu ya kufanya maamuzi sahihi,ondoeni blanketi nene lililowafunga macho kwa miongo mitano.peoplesssssssssssssssssss!
 
Ni vyema aende na kuwaambia chama cha matapeli ccm kilienda kuwadanganya kama kawaida yao kwa kuamini wananchi ni wajinga.
 
Mawaziri mizigo wali asisiwa huko huko mbeya
 
dokta mwenyewe ameumbuka. atuonyeshe mke wake ukiacha huyo wa kupora
akili ya Lumumba ni sawa na maandaz yaliyovimba lakin ndan ni tupu...hawajui hata ka wao wanaongizA nchi, kinacho jutisfy presence ya srkl kweny ustawi Wa watu wake ni upatkanaji Wa ajira, Huduma za jamii, regulation of policies( monetary and fiscal) wala sio attack za kijinga kwa watu...by the way kinana na nape walitumia. muda mwingi kuomba samahan kwa ujinga Wa srkl yao na wakaonyesha kuwa mawazr mizigo ndo tatizo finally ikulu inawaza kuwapa medali za utumishi uliotukuka...vp srkl kichaa ka hii hapa unajivunia nn nayo?
 
inasikitisha kina nape na wenzake walitumia mamilioni ya padiem kwenda kuhadaa wananchi wa chunya.

tukiingia madarakani tutahalalisha gongo...Dk Slaaa

sasa mkuu naona weee umeanza kuikunguta kabla hata Babu Majanga hajahalalisha
 
tukiingia madarakani tutahalalisha gongo...Dk Slaaa

sasa mkuu naona weee umeanza kuikunguta kabla hata Babu Majanga hajahalalisha

Ni wajinga tuu ambao hawakuelewa Dr Slaa alimaanisha nini. Bahati mbaya ni kuwa sii kila mtumia computer ameerevuka, wapo watumiaji ambao bongo zao bado zimelala.
 
Ni wajinga tuu ambao hawakuelewa Dr Slaa alimaanisha nini. Bahati mbaya ni kuwa sii kila mtumia computer ameerevuka, wapo watumiaji ambao bongo zao bado zimelala.
wewe ni mjinga mmojawapo ambaye hukumwelewa slaa. yeye alisema akiingia madarakani ie akichaguliwa kuwa rais (mungu epushia mbali) atahalalisha gongo
 
Ni vyema aende na kuwaambia chama cha matapeli ccm kilienda kuwadanganya kama kawaida yao kwa kuamini wananchi ni wajinga.
huyu mzee alivyochoka hivi ana lipi jipya la kuwaambia watz?? yeye ndio anaenda kuwadanganya akidhani watz ni wajinga. ndio mana ametelekeza familia yake akaenda kupora mke wa mtu
 
wewe ni mjinga mmojawapo ambaye hukumwelewa slaa. yeye alisema akiingia madarakani ie akichaguliwa kuwa rais (mungu epushia mbali) atahalalisha gongo

Sibishani na watu wa hadhi yako.
 
wewe ni mjinga mmojawapo ambaye hukumwelewa slaa. yeye alisema akiingia madarakani ie akichaguliwa kuwa rais (mungu epushia mbali) atahalalisha gongo

gongo imesomesha baba zenu na akina sie! ihalalishwe tu coz haina tofauti na konyagi wala value,ni ujinga kuruhusu konyagi,
value pamoja na grants huku ukizuia gongo na kuifanya mtaji wa polisi wasio waaminifu,kama wewe huwezi kutumia waache wanaopenda watumie kwa raha zao!
 
huyu mzee alivyochoka hivi ana lipi jipya la kuwaambia watz?? yeye ndio anaenda kuwadanganya akidhani watz ni wajinga. ndio mana ametelekeza familia yake akaenda kupora mke wa mtu

ulitaka akuwowe wewe? nyankundo.
 
Back
Top Bottom