Dokta Slaa Kuwaumbua Nape na Kinana

Dokta Slaa Kuwaumbua Nape na Kinana

Asishau huku kwetu Lundu wilaya ya Nyasa Ruvuma jamani tunamgojea sana
 
wewe ni mjinga mmojawapo ambaye hukumwelewa slaa. yeye alisema akiingia madarakani ie akichaguliwa kuwa rais (mungu epushia mbali) atahalalisha gongo

Kweni viloba ni nini na kabla babu yako alikuwa anakunywa nini, tembea wewe acha kumaliza mat....ko lumumba street.
 
wewe ni mjinga mmojawapo ambaye hukumwelewa slaa. yeye alisema akiingia madarakani ie akichaguliwa kuwa rais (mungu epushia mbali) atahalalisha gongo

Kwani viloba ni nini na kabla babu yako alikuwa anakunywa nini, tembea wewe acha kumaliza mat....ko lumumba street.
 
Ahahahaaaa! Hii nchi ya ajabu sn Mungu kaijalia utajiri wa kutoka ila akili za wapiga kura wake ni sawa na viongozi wao kitu ambacho hakitaleta mabadiliko ktk Tanzania inauma sn
 
Dokta Slaa, Katibu Mkuu wa CHADEMA anakwenda Chunya. Anakwenda Makongolosi. Kuamsha waliolala. Kuna watu walilazwa usingizi kule na kina Nape na timu yake. Wameenda kule badala waeleze wananchi kwa nini ni maskini wakati Chunya ni tajiri wa madini ya dhahabu na uoto wa asili unaopatikana katika Bonde la Songwe.

kwanini wananchi wa chunya wamepigwa marufuku kulima pamba na madeni yao ya zamani hawajalipwa.

kwanini barabara ya Mkwajuni - Mbalizi haina barabara kwa miaka 50 wakati ni kilometa chache tu hata 100 hazifiki.

Badala yake Nape na 'mizigo' wenzie wakaishia kuvaa migolole na fimbo za wafugaji kuzuga wanapiga picha wamebeba matofali.

Dr. Slaa anaenda kutoa elimu bila ada. Nadhani sasa Chunya wataamka. maana maisha yamekuwa yakiwachapa kwa miaka 50 yote ya uhuru na bado hakieleweki kwa sababu ya kushabikia chama cha mizigo cha nape na kinana

Elimu bila ada ni elimu gani hiyo? kama unadhani hayo yote uliyoyasema ni rahisi kiasi hivyo si nchi nzima kungekuwa na rami?
 
Heshima kwako mkuu!
Kazi ya ukombozi si nyepesi hata kidogo,ni ngumu.Lakin kwa kazi nzuri ambayo makamanda wanaendelea kuifanya sasa,na kama tutawa support wote kwa pamoja tutafika bilashaka.
By the way huw napitia comments zako several times,nami nasema,nafurahishwa sana na msimamo na mtazamo wako chanya usioyumba.
Viva sana mkuu@@

Dokta Slaa, Katibu Mkuu wa CHADEMA anakwenda Chunya. Anakwenda Makongolosi. Kuamsha waliolala. Kuna watu walilazwa usingizi kule na kina Nape na timu yake. Wameenda kule badala waeleze wananchi kwa nini ni maskini wakati Chunya ni tajiri wa madini ya dhahabu na uoto wa asili unaopatikana katika Bonde la Songwe.

kwanini wananchi wa chunya wamepigwa marufuku kulima pamba na madeni yao ya zamani hawajalipwa.

kwanini barabara ya Mkwajuni - Mbalizi haina barabara kwa miaka 50 wakati ni kilometa chache tu hata 100 hazifiki.

Badala yake Nape na 'mizigo' wenzie wakaishia kuvaa migolole na fimbo za wafugaji kuzuga wanapiga picha wamebeba matofali.

Dr. Slaa anaenda kutoa elimu bila ada. Nadhani sasa Chunya wataamka. maana maisha yamekuwa yakiwachapa kwa miaka 50 yote ya uhuru na bado hakieleweki kwa sababu ya kushabikia chama cha mizigo cha nape na kinana
 
wewe ni mjinga mmojawapo ambaye hukumwelewa slaa. yeye alisema akiingia madarakani ie akichaguliwa kuwa rais (mungu epushia mbali) atahalalisha gongo

weka hapa kila alichokisema DR SLAA , siyo unatuwekea uongo wako hapa , halafu unaita wenzio wajinga wakati wewe ndiyo MBURULA namba 1 ! POOR YOU ! FUKARA MKUBWA WE !
 
Bora JK amepita jeshini, Dk.Slaa hata Mgambo hajapita halafu anajiita KAMANDA.

yupi ni kamanda halali , yule anayepepesuka jukwaani au anayesimama imara na kikakamavu kwa masaa hata 6 ?
 
Kwakuwa hapa ni karibu itabidi nijongee, maana najua Nape na Kinana hawana hamu tena ya kufanya mikutano kwakuwa mawaziri mizigo wameendelea kupeta. Chezea mwanyekiti alivyoambiwa akachanganya na zake.

Dokta Slaa, Katibu Mkuu wa CHADEMA anakwenda Chunya. Anakwenda Makongolosi. Kuamsha waliolala. Kuna watu walilazwa usingizi kule na kina Nape na timu yake. Wameenda kule badala waeleze wananchi kwa nini ni maskini wakati Chunya ni tajiri wa madini ya dhahabu na uoto wa asili unaopatikana katika Bonde la Songwe.

kwanini wananchi wa chunya wamepigwa marufuku kulima pamba na madeni yao ya zamani hawajalipwa.

kwanini barabara ya Mkwajuni - Mbalizi haina barabara kwa miaka 50 wakati ni kilometa chache tu hata 100 hazifiki.

Badala yake Nape na 'mizigo' wenzie wakaishia kuvaa migolole na fimbo za wafugaji kuzuga wanapiga picha wamebeba matofali.

Dr. Slaa anaenda kutoa elimu bila ada. Nadhani sasa Chunya wataamka. maana maisha yamekuwa yakiwachapa kwa miaka 50 yote ya uhuru na bado hakieleweki kwa sababu ya kushabikia chama cha mizigo cha nape na kinana
 
huyu mzee alivyochoka hivi ana lipi jipya la kuwaambia watz?? Yeye ndio anaenda kuwadanganya akidhani watz ni wajinga. Ndio mana ametelekeza familia yake akaenda kupora mke wa mtu

mke aliyeporwa ni wako?mwenye mke aende mahakamani.
 
Nitafurahi sana akiwauliza kuwa Nape na Kinana walikuja hapa na kuwatajia mawaziri mizigo vp,mumesikia lolote kuhusu kufukuzwa kazi kwa hao mizigo au ilikuwa ni blah blah za CCM...........Hii serikali si sikivu kama wanavyojinadi,usanii ndio unaowangoza.
 
akili ya Lumumba ni sawa na maandaz yaliyovimba lakin ndan ni tupu...hawajui hata ka wao wanaongizA nchi, kinacho jutisfy presence ya srkl kweny ustawi Wa watu wake ni upatkanaji Wa ajira, Huduma za jamii, regulation of policies( monetary and fiscal) wala sio attack za kijinga kwa watu...by the way kinana na nape walitumia. muda mwingi kuomba samahan kwa ujinga Wa srkl yao na wakaonyesha kuwa mawazr mizigo ndo tatizo finally ikulu inawaza kuwapa medali za utumishi uliotukuka...vp srkl kichaa ka hii hapa unajivunia nn nayo?

Si bure ushalewa pombe ya Babu yako mzinzi Silaha
 
Safi Dr. Slaa, Mungu azidi kukulinda.!
 
Dokta nenda kapige kazi halali kwa ukombozi wa kweli kwa Mtanzania halisi.
 
Back
Top Bottom