Dokta Slaa Kuwaumbua Nape na Kinana

Dokta Slaa Kuwaumbua Nape na Kinana

huyu mzee alivyochoka hivi ana lipi jipya la kuwaambia watz?? yeye ndio anaenda kuwadanganya akidhani watz ni wajinga. ndio mana ametelekeza familia yake akaenda kupora mke wa mtu

Unaonekana unatumia akili ya samaki au ya Kuku.Hebu nikuulize kati ya mwenye mpenzi mmoja na mwenye mke/mume na vimada watano ni nani bora???
 
Pia awaambie kua ile ahadi ya kuwashughulikia mawaziri mizigo ilikua ni usanii wa kawaida wa CCM..Kinana na Nape ni kama Komba tu.
 
Bora JK amepita jeshini, Dk.Slaa hata Mgambo hajapita halafu anajiita KAMANDA.

kama jk mwenyewe alienda jeshini kuiba sufuria za ubwabwa tu kuna haja gani ya dokta slaa kwenda jeshini?
 
Kumbe tunajadili tetesi ngoja niendezangu nikacheze na kasuku wangu.
 
Mbeya uzuri wake wanaelewa na hili la mawaziri mizigo kuendelea kubakishwa kwenye baraza jipya la mawaziri ndiyo kabisaa limeimaliza ccm.
 
Dr Mungu alikuumba kwa ajili ya Watanzania. Songa mbele baba.
 
inasikitisha kina nape na wenzake walitumia mamilioni ya padiem kwenda kuhadaa wananchi wa chunya.

Gongo lazime iwe halali...sasa Dr mapepo yakimpanda singo atakayekuja nayo ni kuwahalalishia Ukameruun
 
wezi wakitajwa sio kuumbuliwa ni haki na wajibu kutimizwa, unamuumbua mtu muadilifu sasa hawa vibaka hawa hamna namna utawaumbua
 
tukiingia madarakani tutahalalisha gongo - dr slaa

chama cha mapepo(ccm). Mapepo ni roho wachafu ambao siku zote wapo kinyume na mapenzi ya Mungu. Hiki ndicho chama ambacho kinaitawala TZ kwa mbinu za udanganyifu, ulaghai, upashikuna, uzandiki, udaku, mabavu, kiugaidi, kiutapeli, n.k. Mwisho wa utawala wa pepo wachafu umefika muanze kufungasha virago
 
Gongo lazime iwe halali...sasa Dr mapepo yakimpanda singo atakayekuja nayo ni kuwahalalishia Ukameruun

Hii ni kazi mojawapo ya pepo wachafu. Kuropoka ropoka kwa maneno ya kuwakatisha watu tamaa ili wasiuone ukombozi wao kuwa umekaribia. EWE pepo mchafu unae ongea uongo dhidi ya doctor, nakuamuru tooooooka, mtoke kijana huyu....tooooka!!!!

Bila kuwafanyia maombi hawa mburukenge wa ccm kamwe akili zao hazitarudi wote wamepagawa na jini msukule
 
Nimeenda sehemu za BABATI gongo ipo inatumika kama mbege tu,Dr.Slaa alikuwa sawa kuwa atailegalize na kuboresha maandalizi yake.
 
Pia awaambie kua ile ahadi ya kuwashughulikia mawaziri mizigo ilikua ni usanii wa kawaida wa CCM..Kinana na Nape ni kama Komba tu.
Mbeya wanajua ndizi na toto ndo maana wanampenda Dr
 
Attachments

  • 1393682456641.jpg
    1393682456641.jpg
    47 KB · Views: 138
Gongo lazime iwe halali...sasa Dr mapepo yakimpanda singo atakayekuja nayo ni kuwahalalishia Ukameruun

Boss wenu mbona kimya au ndo alishahalalisha kimyakimya kwa kumuogopa obama? Maana hiyo ndo hulka ya madokta wa uongo
 
Unaonekana unatumia akili ya samaki au ya Kuku.Hebu nikuulize kati ya mwenye mpenzi mmoja na mwenye mke/mume na vimada watano ni nani bora???

mkuu hizo silaha zako kama unaelekeza kwa mukulu wa kaya vile.

ni mtazamo tu.
 
Back
Top Bottom