Dokta Slaa Kuwaumbua Nape na Kinana

Dokta Slaa Kuwaumbua Nape na Kinana

Pia awaambie kua ile ahadi ya kuwashughulikia mawaziri mizigo ilikua ni usanii wa kawaida wa CCM..Kinana na Nape ni kama Komba tu.

mkuu ile ya mawaziri mizigo ilikua danganya toto kwa lengo la kuzima operesheni tokomeza na uuwaji wa tembo zinduka chukua hatua
mungu ibariki tanzania
mungu ibariki chadema
 
Eti kuwafumbua macho

Nyani haoni kundule

Akawaambie pia matumizi ya ruzuku ya chadema
Awaambie kwa nini analipwa mil 12 kwa mwezi na katibu wa wilaya mwenyw watu anapata nini?

Akawaambie pia mrithi wa Rejia hatoki nae kata moja na pia Rose kamili si mzazi mwenzake

Akawaambie wana chunya kuwa gharama ya chopa 3 haikugharimu mabilioni ya fedha.
 
Back
Top Bottom