Dokta Slaa aitisha Press Conference Iringa!

Dokta Slaa aitisha Press Conference Iringa!

Viongozi wa chama ndio wanawasili wakiongozwa na dokta, waandishi wa habari nao pia wanaingia ukumbini tayari kwa conference.
 
Ataitisha press conference wakati Waislaam wako kwenye swalat'lJumaa. Sababu?

Waandishi Wakiislaam wasiwepo!

Nyie sana mtachizika. So hata kula msile coz ya ijumaa? JIREKEBISHENI.
 
Mkuu Nzenzu vp bado unafanya recording nini?
Tunasubiri updates pls!!!
Ahsante mkuu.
 
mkuu kazungumzia kuhusu swala la polisi kuzuia M4C iringa, kasema M4C itaendelea kuanzia trh 2 sept, itafika kijiji mpaka kijiji, kata mpaka kata za Mkoa wa Iringa. Pia wamegundua hujuma na janja ya serikali ya CCM kwa chama chao, ni mkakati wa kukipaka matope CHADEMA. kaahidi kusimama mpaka mwisho. Anaendelea!
 
Safi sana na zani anazungumzuia ile mikakati ya wakina Mwiguru, Mikakatai ya vyama vya kikomonist
 
Nzenzu umenzezuka au vipi, tuweke live mkuu!!
 
Kwa Undani wa Kinachojiri Iringa Pitia hii Link

Francis Godwin Mzee Wa Matukio Daima
 
Back
Top Bottom