Dokta Slaa aitisha Press Conference Iringa!

Vipi kuhusu zile tuhuma za kutaka kuuawa hajazitengenezea nyaraka?
 
Huyu mzee anahitaji maombi, mzee wa upako ebu msaidie huyu mtu.Simuelewi kwa kweli yaani Sitta kutoa maoni yake leo anakuja na kashfa yake siku zote alikuwa wapi? inamaana Sitta asingezumza yale hizo document angekolezea mkaa nyumbani kwake?

Unamtetea 6 au unatoa maoni.
 
Huyu mzee anahitaji maombi, mzee wa upako ebu msaidie huyu mtu.Simuelewi kwa kweli yaani Sitta kutoa maoni yake leo anakuja na kashfa yake siku zote alikuwa wapi? inamaana Sitta asingezumza yale hizo document angekolezea mkaa nyumbani kwake?

huyu mzee hata mimi naanza kumtafakari kwa kina.something is veeeeerrrry wrong here.
 
slaa bana! .. inabidi nicheke! this guy should be a comedian siasa sio mahala pake..
 
ok asante kwa taarifa; hiyo tar 2 sept movement for change iringa itaanzia kijiji gani?
 
Hahahahahahaha
Dr slaa aropoki kama Nape yeye ana kuja na evidence sio maneno matupu!

Maana kama maneno matupu hata mitaani wanaweza hiyo shughuli anayo ifanya Nape!

Si nilisema atakuja na document za siri Kubwa, hana jipya huyu mzee.
 
Muda wa sitta umefika sasa! Kachokoza ngoja na yeye apate joto kidogo! Kila mtu ana muda wake! Chezea Dr wewe!

Huyu mzee anahitaji maombi, mzee wa upako ebu msaidie huyu mtu.Simuelewi kwa kweli yaani Sitta kutoa maoni yake leo anakuja na kashfa yake siku zote alikuwa wapi? inamaana Sitta asingezumza yale hizo document angekolezea mkaa nyumbani kwake?
 
Halafu hao ndo supporters wa JK,ukitaka kumjuwa JK,tizama posti zao hao watu wake.Ni wadini vibayaa!Wabaguzi wakubwa hawafai hata kuitwa watanzania.

pia ni mabingwa wa kumwaga pumba, uwezo wa kujenga hoja zero, wamejaa ushabiki wa kipuuzi.
 
Hahahahahahaha
Dr slaa aropoki kama Nape yeye ana kuja na evidence sio maneno matupu!

Maana kama maneno matupu hata mitaani wanaweza hiyo shughuli anayo ifanya Nape!
evidence ya kutaka kuuliwa uliziona? Evidence ya silaha za ccm uliziona? Labda kama ulienda mahakamani akaja kukuonyesha.

Hebu niambieni,ameleta jipya gani leo? Katika yote yanayo endelea kwenye siasa anakuja kujibishana na Sitta. Haya mambo ya mipasho ni kazi ya kina lema.
 
Back
Top Bottom