Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,384
- 11,268
Du hata mm naunganisha ..... zako kweli kuna kitu hapa kweli uongozi ni mtamu, km Zitto, Rostam, Sitta naye alikuwemo tuwasubiri kina Mnauye na January kweli pesa na Hummer ni tamuSasa naweza kuunganisha doti jinsi wanasiasa wetu wanavyojiuza. Rafiki yangu mmoja (ni askari wa JW) aliwahi kunieleza Zitto alivyokuwa akifanya vikao tata hapa Dar na Dom na akina Rostam na Sitta so kuna mengi tutasikia baada ya Dokta kutoa kifuniko cha tanuru la ukweli