Dokta ndio kwamba emeshakuwa mlemavu

Dokta ndio kwamba emeshakuwa mlemavu

Thanks alot!


(What Is the Apgar Score?)



Apgar Scoring


210
Heart Rate
(pulse)
Normal (above 100 beats per minute)Below 100 beats per minuteAbsent
(no pulse)
Breathing
(rate and effort)
Normal rate and effort, good crySlow or irregular breathing, weak cryAbsent (no breathing)
Grimace (responsiveness or "reflex irritability")Pulls away, sneezes, coughs, or cries with stimulationFacial movement only (grimace) with stimulationAbsent (no response to stimulation)
Activity
(muscle tone)
Active, spontaneous movementArms and legs flexed with little movementNo movement, "floppy" tone
Appearance
(skin coloration)
Normal color all over (hands and feet are pink)Normal color (but hands and feet are bluish)Bluish-gray or pale all over
Continue


The test was designed to help health care providers assess a newborn's overall physical condition so that they could quickly determine whether the baby needed immediate medical care. It was not designed to predict a baby's long-term health, behavior, intellectual status, personality, or outcome. Very few babies score a perfect 10, since their hands and feet usually remain blue until they have warmed up. And perfectly healthy babies sometimes have a lower-than-usual score, especially in the first few minutes after birth.



Tumesema hizi ni point kuanzia 2(hi-score),1(afadhaliy na 0(mbaya)Pointi hizi anapata katika vigezo vyetu vile vitano.Ina mana ss point ni kati ya 0(kafa) mpaka 10.Pointi hizi hutolewa baada ya tu mtoto kutoka,halafu baada ya dk 5 na kama ana hali mbaya hata baada ya dk 10. Mfano Kupumua(kulia):kama amelia kwa kutumia nguvu na anahema vizuri ni pointi 2,akilia kichovu na kuhema kwa mapozi au anagwaya ni 1 na asipofanya lolote ni 0.Kuangalia motorsystem relexis(misuli)unambeba halafu unafanya km unamwangusha hivi...utamwona anashtuka sn...unajaza.mara nyingi hawatoi zote 10 kwa hiyo mtoto mzima kabisa anapata 8.sikumbuki kwa nn
 
There are all kinds of theories, but no one knows
for 100% certaintly.

Popular theories are things
like the trauma of being pushed out,
the
sensation of having to inflate their lungs with
air,
or the change in temperature from 98.6 to
being thrust into a cold hospital environment.

Babies that are born in warm waterbirths
sometimes don't cry, but are obviously fine and
aware when they're brought up.....Kukariri na kuwa na mawazo mgando(irrational) ni janga la kitaifa.
SASA HAPO NDIO UNGETAFSIRI UNGEPATA JIBU LAKO usikariri utajafeli maana hata temp. 98.6 ( ) hukuielezea ni F au Centigrade mtihani utacopy na kupaste
ulinitisha na sasa unanitisha kwani unapingana na huku ulikocopy kwani thread yako No 4 hapo juu umesema kuna matundu mawili ya mtoto ya kupumulia na kusema nanukuu .Mtoto asiyelia manake hufariki!Sasa sijui huyo mtoto alikumbwa na lipi.Ubongo ukifa akuna dawa tena...utakuwa ulemavu wa kudumu kwa mtoto jibu lake umeleta tena na linapingana
Babies that are born in warm waterbirths
sometimes don't cry, but are obviously fine and
aware when they're brought up...
ngoja waje kina Mzizi Mkavu
 
Last edited by a moderator:
Wakuu kwa kujubu maswali ya mchango wenu ni kuwa mpaka sasa mtoto huyu hakai, hasimami wala hatembei, shingo yake pia ni legevu, haijakaza.

Lakini pia binti huyu, hana mtoto mwingine, huyu ndiye mtoto pekee aliyejaliwa na mwenyezi Mungu mpaka sasa.

Katika ukoo wa mama na baba tatizo hili halijawahi kuwepo. Binafsi sijawahi kumwona mtoto huyu ila mama ake anamtaja kuwa ni mchangamfu na anacheza vizuri lakini katika hali ya kuwa amelala.
Mkuu.@Mupirocin na Mkuu.@green_marwa Mbona mnagombana? badala ya kumsaidia

mkuu.@Cognitivist nyie wawili mnaanza kutupiana maneno ehhh tutafika lakini tunakokwenda?@
Cognitivist

Kwa kusaidia mawazo mimi ningelikuwa karibu ningelimuuliza huyu mama mwenye mtoto je mtoto

anapolala usiku huwa hastuki stuki ndani ya usingizini? na kitu kingine kwa ufahamu wangu mimi

ningelikuwa karibu ningelimtibu mama mwenye huyo mtoto ndie anae muharibu huyo mtoto mama na pepo

mbaya ndie anayemfanya huyo mtoto awe mgonjwa ikiwezekana mwambie Mama aende na mtoto kuombewa Dua

eidha kwa wachungaji au Ma Sheikh huo ndio ushauri wangu. Kwa Hospitali imeshindikana na huenda huyo

mtoto mama akamkosa huenda akaondoka duniani akifanya mchezo mpe ushauri haraka afanye hivyo

nilivyokuambia kisha unipe feedback.
 
Tumesema hizi ni point kuanzia 2(hi-score),1(afadhaliy na 0(mbaya)Pointi hizi anapata katika vigezo vyetu vile vitano.Ina mana ss point ni kati ya 0(kafa) mpaka 10.Pointi hizi hutolewa baada ya tu mtoto kutoka,halafu baada ya dk 5 na kama ana hali mbaya hata baada ya dk 10. Mfano Kupumua(kulia):kama amelia kwa kutumia nguvu na anahema vizuri ni pointi 2,akilia kichovu na kuhema kwa mapozi au anagwaya ni 1 na asipofanya lolote ni 0.Kuangalia motorsystem relexis(misuli)unambeba halafu unafanya km unamwangusha hivi...utamwona anashtuka sn...unajaza.mara nyingi hawatoi zote 10 kwa hiyo mtoto mzima kabisa anapata 8.sikumbuki kwa nn

Mi wa kwangu aliandikiwa 9 after 5min kawekewa 10
 
Ndugu zanguni Hippocratessocrates, Green Marwa, Mupirocin, Mzizi mkavu, Ukwaju na wengineo wote kwanza nakuombeni radhi kwa kuchelewa kuyajibu maswali yenu, hii ni kwa kuwa nililazimika kumtafuta mama wa mtoto ili yeye ndio ayajibu maswali hayo kupitia mimi.

Na katika kuongea nae nimepata taarifa nyingine ambazo pia zitasaidia katika kufikia conclusion.

Mama wa mtoto amenieleza kuwa alijifungua salama kabisa kwa njia ya kawaida, uchungu wa kujifungua ulichukua muda mrefu kiasi kwamba zilibaki dakika chache angefanyiwa upasuaji. Mtoto anatajwa na mama ake kuwa alilia mapema tu baada ya kuzaliwa japo hana kumbukumbu ya hiyo APGAR score, kwa maelezo yake haikupita hata dk moja.

Mtoto aliendelea kukua vizuri kama watoto wengine na alipofikisha miezi mitatu na wiki mbili alianzishiwa mazoezi ya kukaa na alimudu kukaa akiwa na miezi minne/mitano

Lakini alipofikisha miezi sita aliugua malaria kali kwa takriban miezi miwili alimeza vidonge na kuchomwa sindano baada ya matibabu hayo ndio sekeseke lilipoanza mtoto akawa hawezi tena kukua, na kila alipojaribiwa kukaa ilikuwa tabu.

Kwa sasa mtoto hali yake ndio kama nilivyokwisha eleza, kuhusu kuongea anasema bado hawezi kuongea japo anaweza kutaja maneno machache tu.


Kuhusu kufanyiwa maombi, mama huyu anasema alishafika
Kote huko na hivi karibuni alifanyiwa maombi na mzee wa upako.

Naamini kwa nukta hii nimejibu maswali mengi kama sio yote mliyouliza. Kwa mara nyingine tena nakuombeni tuendelee kujadili. I present.
 
Apgar score is determined by evaluating the newborn baby on five simple criteria on a scale from zero to two, then summing up the five values thus obtained. The resulting Apgar score ranges from zero to 10. The five criteria are summarized using words chosen to form a backronym (Appearance, Pulse, Grimace, Activity, Respiration).
[h=2]Interpretation of scores[/h]

Mind map showing summary for the Apgar score


The test is generally done at one and five minutes after birth, and may be repeated later if the score is and remains low.

Scores 7 and above are generally normal, 4 to 6 fairly low, and 3 and below are generally regarded as critically low.

A low score on the one-minute test may show that the neonate requires medical attention[SUP][3][/SUP] but is not necessarily an indication that there will be long-term problems, particularly if there is an improvement by the stage of the five-minute test. If the Apgar score remains below 3 at later times such as 10, 15, or 30 minutes, there is a risk that the child will suffer longer-term neurological damage. There is also a small but significant increase of the risk of cerebral palsy. However, the purpose of the Apgar test is to determine quickly whether a newborn needs immediate medical care; it was not designed to make long-term predictions on a child's health.[SUP][1][/SUP]

A score of 10 is uncommon due to the prevalence of transient cyanosis, and is not substantially different from a score of 9. Transient cyanosis is common, particularly in babies born at high altitude. A study comparing babies born in Peru near sea level with babies born at very high altitude (4340 m) found a significant difference in the first but not the second Apgar score. Oxygen saturation (see Pulse oximetry) also was lower at high altitude.[SUP][4][/SUP]
 
Ok mimi nashukuru kwa maelezo haya, yeye kujua apgar score siyo kazi yake, hii ni kazi ya mtalaamu na huandikwa kwenye akdi ya kliniki ya mama. Kutoa maelezo tu kuwa alilia mapema hii kwangu ni msaada mkubwa sana kujua hata uchungu ulchukua muda wa kawaida.
Sasa Katika ukuaji wa mtoto inaonekana alikuwa anakua vizuri mpaka miaka mitano na ni kweli kabisa kibiologia alikuwa anaendana na hatua za ukuaji wa mtoto. Hapa sasa najua kuwa tatizo halijasababishwa na matatizo ya kujifungua bali ni matatizo aliyougua baada ya umri wa miezi mitano. sasa cognitivist naomba nijue kitu kingine wakati anaugua haya mardhi alipata degedege coz hii inaathiri ubongo kiasi kwamba huwa inaathiri hata ukuaji wake na kama si kumsababishia ulemavu wengine wanaweza kuwa kawaida lakini IQ yake ikawa ndogo hapa inategemea ubongo umeathirika kwa kiasi gani na ugonjwa husika. na magonjwa yenyewe hasa ni kifafa au malaria kali kwa watoto.
Kitaalamu hapa tunasema mtoto amepata regressed developmental mile stone na kama ameathirika sana coz simwoni hapa matibabu yake ni mazoezi zaidi. Lakini usifikiri kuwa mtoto wako ndo ameshkuwa mlemavu ukizingatia tu anaweza kuwa normal lakini with some deformity na pia zingatia kwenye elimu yake aende special school za watoto wenye ulemavu. kama kuna maswali uliza. sikutaka kujibu tu au kuelekeza kabla sijajua maswali haya coz ni muhimu sana kufika diagnosis kwa Dr mweny upeo ataungana nami.
 
Nafikiri nmeshakuelewesha ingawa ni kidogo kama una maswali uliza mkuu, nilikuwa na maana sana kuuliza maswali yale, na ndiyo maana hata ukifika hospitali kwa Dr lazima ujieleze na kama maelezo yako hayajitoshelezi basi Dr atakuuliza maswali na ndiyo maana nimejibu baada ya kujibiwa maswali yangu. Na kwa utaalamu huu ugonjwa unaitwa CEREBRAL PALSY ingawa una grade zake ukitaka nitakwambia. na naweza kmgrade mtoto kwa kumwona.
Acha wenye shule tutumie shule zetu hatutoi matibabu kama waganga wa kienyeji waliojazana mataani na humu mtandaoni.
 
Jibu
Nimesoma maelezo ya wengi wengi wameeleza vizuri juu ya tatizo ni kweli ni utindio wa ubongo/(Cerebral palsy.
Naimesababishwa na mtoto kuka kwenye njia ya uzazi kwa kuchelewa kutoka nje nakusbibisha kuzibwa bumzi na kukosa oxygen kwa muda.
Kuna sehemu ya ubongo imeadhirika.
  • Kunauwezo wakupona ila itachukua muda, mazoezi na dawa waone wataalamu mf. CCBRT
  • Tumia mitishamba yenye copper na carbon, umeme unahitajika ili ku activate (CNS) Umeme unaitajika kwenye hi suala na unapatikana kwenye mimea asilia tu.
  • Pia marijuana inaweza ku activate ubongo waone wataalamu wenye kibali cha kutumia cannabis kama dawa. Sio kwa kuvuta "Not a joke!"
Tafuta waatalamu wa tiba asili unaye muamini atakusaidia. (hakuna kinachoshindikana)
SHUKRANI!
 
Back
Top Bottom