dokii alipokuwa akimnadi JK

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,060
79,086


Hebu jaribu kumskiiza Dokii halafu utahisi katika kumnadi JK kuna kitu zaidi ya usanii yaani ni passionate ikifuatana na facial gestures, na kujishaua kiaina! vp kunani hapo?
 
Last edited by a moderator:
KIMASLAHI ZAIDI...CCM ni mahali tu pa kutengenezea maisha, hata ukiamua kuwa 'mliaji' kwenye kampeni wakuchukua kwa gharama yoyote!
 
Back
Top Bottom