1.kwanini tunatakiwa kuamini na kukubali kuwa ujumbe wa Mtume Muhammad na mitume wengine ni kutoka kwa Allah na sio mawazo yao Binafsi?
2.Kwanini tunatakiwa kuamini na kukubali kuwa Quran ni ujumbe kutoka kwa Allah na sio mawazo binafsi ya waandishi.?