Doha: Rais Samia azungumza na Sheikha Moza

Si tumekubaliana kwenye uislam michoro ni haramu sasa imekuwaje tena hii michoro tata?
 
Waarabu hapa Tanzania ni kwao pia. Walifika mwambao huu kabla hata wabantu hajaondoka huko Cameroon.
Mama piga kazi tu achana na watu wanaongalia picha na akili zao zinaenda kwenye ngono. Hawana ustaarabu na staha za kujadili vitu muhimu.
Huyo mwenyeji anaendesha taasisi muhimu sana ya elimu kwa watoto na Tanzania ina nafasi ya kufaidika.
 
Baadae tutaanza kumuona mazeli naye ameiga mtindo wa kufunua nywele kama alivyofanya Sheikha Moza
 
Hilo ndo tatizo la mazeli kuzurula kwenye sebule za watu, ona sasa hadi anakalishwa kwenye bango la kuliwa tunda kimasihara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…