Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,587
- 17,532
#PICHA Rais @samia_suluhu_hassan akizungumza na mke wa aliyekuwa Mfalme wa Qatar Sheikh Hamad Bin Khalifa Al- Thani, Sheikha Moza Bint Nasser Al-Missned wakati alipomtembelea Jijini Doha nchini Qatar tarehe 03 Oktoba, 2023.
#EastAfricaTV
#EastAfricaTV
Doha, Qatar: HH Sheikha Moza bint Nasser, the Chairperson of the Education Above All Foundation (EAA), met Tuesday with President of the United Republic of Tanzania HE Samia Suluhu Hassan.
The meeting discussed the efforts of the Education Above All Foundation to reduce the number of out-of-school children in Tanzania.
ukute walifanya kusudi kumuweka hiyo sehemu yenye hiyo Michoro ya kifirauni na watu wetu wa tiaies hawakuona.