Si wametangaza tareh 14 kwenye birthday ya Telegram kuna jambo lao wanatoa, kama itakuwa na uhakika waalioitilia maanani watapiga pesa, achana na hawa washamba ambao mpaka leo hawajui mambo ya onlines. Anyway ni bora kujaribu maana upungukiwi kitu wala huombwi chochote kujiunga na hiyo kitu.
Ni washamba tu wasiojua haya mambo ndio hupingapinga.