Dogo unaharibu diliii!!

Ngongoseke

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
3,203
1,462
Kuna jamaa alikuwa anatafuta kazi kwa muda,mara akafika kwenye Zoo moja kuomba kazi,akapewa kazi akatakiwa awe Gorilla a.k.a baboon,basi akawekwa banda la juu,akavalishwa sanamu akawa kama sokwe la ukweli,basi siku 1 wakati watalii wamekuja kutembelea Zoo yeye kwa manjonjo akawa anaonyesha madoido anaruka ruka kama Gorilla wa ukweli,mara mbao ikakatika jamaa akadondokea kwa simba,ile kufika tu chini jamaa akapiga,Maaaamaaa nakufaaaaa,basi yule simba akamjibu,Dogo nomaaaa unaharibu dili weweeeee!!
 
Haya ndo tunayoyataka tunacheka kama hivi.Nimeipenda na full kuenjoy.
 
Hahahahahaaaaaaaaaaaa, uuuwwwwwwwiiiiiiiiiiiiiiii,
effffyyyyyuuuuuuuuuuuuu! Mbavu zangu!!!!...
 
Inaonekana hata chui na wengine wote ni wanyama-watu, zoo nzima ni ya kisanii
 
Kumbe nae simba ni mtu alivaa mask!!!!!!!!!!!!!!1
Hahahahaaaa unajua nilikuwa sijamuelewa jamaa teh teh kumbe angekuwa ni simba wa ukweli angemchakaza dogo...hahahahaaaa uko juu kijana
 
Back
Top Bottom