pitbull
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 593
- 177
kuna dogo mmoja alikuwa anahudhuria mafundisho ya dini sikumoja mwalimu alikuwa akifundisha akauliza wangapi wanataka kwenda mbinguni? watoto wote wakanyoosha kasoro yuke dogo mwalimu akamuuliza wewe hutaki kwenda mbinguni dogo akajibu mimi mama kaniambia nikitoka mafundisho nisipitie mahali.!!teh teh teh