Huenda akawa zaidi ya wote haioUsimsifie msikitikie watu wa hivyi huwa hawawi na mwisho mzuri unless ashtuke haraka aache
Ndege mjanja hunaswa na tundu bovu.
Mwaka 1972 Arusha kuna jambazi alikuwa anaitwa Mnyori alisumbua sana Arusha
Hata polisi walikuwa wanamuogopa sana.
Aliyekuja kummaliza na kumhamisha duniani na kumpekeka kwa Mungu ni mama mmoja wa kimasai muuza gongo.
Unakumbuka kale kafala kaliitwa Dangote ka Arusha kalikufaje? juzi juzi tu hapa hata miaka miwili bado kupita
Inaonekana kisha bakwa huyu tayari,ndio maana kakomaa kuwabishia watu hapa na kumsifia huyo dogo coz hayo sio mahaba ya kawaidaSubiri siku akukabe na akubake ndio utajua hujui.
Ina sikitisha sanaInaonekana kisha bakwa huyu tayari,ndio maana kakomaa kuwabishia watu hapa na kumsifia huyo dogo coz hayo sio mahaba ya kawaida
Mnafuga wezi mtaani kwenu halafu unakuja kuwasifia hapa usisahau shetani hana rafikiKuna dogo mmoja kiukweli ni muhuni ni level za ujambazi kabisa akitoka akirudi anarudi na simu kubwa nyingi kijiweni ni kuziuza tu elfu 50 ila hauzii mtu anaemjua ni wageni tu
Siku moja kijiweni walikuja maaskari wawili kumkamata alichomoa sime na panga akawaambia kama nyie wanaume kweli nifuateni
Hapo ndiyo niliona show zake live ni mtu mwenye mahesabu mengi mno very calculated kwa watu anaojuana nao hafanyagi kabisa ujinga ana shiriki shughuli zote za kijamii
Au ni wewe mwenyewe ndo unakuja kujisifia upumbavu humu acha ukibaka watakuuaHuenda akawa zaidi ya wote haio
Hakuna iron fist mbele ya chuma manati ya mzungu.Huenda ila yupo sharp anajiita IRON FIRST
Ni suala la muda tu, kuna button akigusa tutaona turubai na makochi njeSubiri siku akukabe na akubake ndio utajua hujui.
kwa sababu ni shemeji yako? Unajiaminishaje kuwa hawezi kwapua simu za nduguzako?Hawezi kukwapua ya ndugu zangu