Dogo kichwa dafu - Mwalimu ana chuki na mimi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dogo kichwa dafu - Mwalimu ana chuki na mimi.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by MAMMAMIA, Mar 23, 2012.

 1. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Dogo alifeli mtihani na karibu abakishwe darasa lile kam si baba yake kwenda kumwomba mwalimu ampe mwanawe fursa nyengine. Mwalimu alikubali.

  Siku ya mtihani wa marudio, dogo alifanya mtihani na matokeo yakawa yale yale - alifeli.

  Baba alihamaki sana. Alipomwuliza mwanawe kwa nini alifeli na alipewa fursa ya kurudia mtihani.

  "Mwalimu anachuki na mimi. Nimefeli kwa sababu amenipa mtihani ule ule niliofeli kabla. Kama sio hivyo, kwa nini akanitolea mtihani ambao tayari nilikwisha feli."
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahaaa dogo kilaza wa ukweli aisee
  Dah hakosi sababu
   
 3. Daniel Mjema

  Daniel Mjema Verified User

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Jul 23, 2007
  Messages: 70
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 25
  mmmhhh huyo dogo wa ukweli hahahhahahahah hla kilaza bado tu
   
Loading...