Dogo Janja: Mwanaume kama huna hela ya kutunza kwa nini uzae mtoto?

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,967
19,195
Msanii mdogo kutokea huko Arusha amesema mwanaume kama huna helani bora usiwe na mtoto maana wanatekeleza watoto na kusababisha mateso kwa viumbe wasio na hatia na sasa maisha yamekua magumu
Pia amehojiwa na kipindi vcha shilawadu kuhusu kutoka na Jackline Wolper nakusema hilo sio kweli na anamuheshimu dada huyo kwa sababu ni mtu wa kwao wanapita njia moja wakienda kwao

Dogo atulie, asubiri wamshauri, akikua atawlewa!
 
Kiki bana zinatafutwa kwa nguvu nyingi,alianza kuponda mavazi ya wasanii wa wcb kisa tu wimbo uvume. Wasanii wa siku hizi hawana ubunifu kabisa
 
Unaweza kukuta dogo anawatajirisha watu,yeye anaambulia kuvaa tu
 
Dogo kaongea kweli, tatizo hawa wanawake bhana nao wakishatamani mtoto wanakuja na njia zote ilimradi umdunge mimba, dah
 
Anamsema young dee anaekula unga ajui mwanae anakula nini anavaa nini wala analala wapi.
Ukimuona kwenye kideo utasema kweli bongo bahati mbaya.
 
Dogo kaongea kweli, tatizo hawa wanawake bhana nao wakishatamani mtoto wanakuja na njia zote ilimradi umdunge mimba, dah
Yes dogo ana point. na ameongea ukweli tupu.
Na kweli yes mwanamke akitaka mtoto anakuja kwa nguvu zote..
But mwisho wa siku is up to mwanaume mwenyewe kuukwepa mtego kama anajua dhahir hana uwezo wa kulea by then
 
Dogo ameongea ukweli mtupu ambao wengi hawaupendi kabisa...ni lazima tujue unapo fanya mapenzi bila kinga kuna matokeo mawili yanaweza kutokea kwa wakati mmoja au kwa muda tofauti ni either mimba au HIV.... kwa hiyo tunapaswa kujipanga
 
Yes dogo ana point. na ameongea ukweli tupu.
Na kweli yes mwanamke akitaka mtoto anakuja kwa nguvu zote..
But mwisho wa siku is up to mwanaume mwenyewe kuukwepa mtego kama anajua dhahir hana uwezo wa kulea by then
Hawa mademu washenzi man, acha tu niishie hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom