Dogo hali anataka kuhama shule na comb

teenwolf

Senior Member
Feb 12, 2017
122
76
habari humu ndani,nina mdogo wangu kamaliza four ila kapangiwa shule na comby ambayo hakuchagua. Na cha ajabu hata hiyo comby aliyopangiwa kwenye hiyo shule aliyopangiwa haipo.
Je inawezekana kuhama??? from government to government(school)
comby ya PCB imebalance vibaya mno na ndo anayoitaka.
yani hali,ye ni kulia tu mda ote.
Msaada please,ushauri wenu,what to do?
na kama kuhama haiwezekani please naomba mnitajie shule za private sayansi zenye ada nafuu.
 
Mkuuu ushauri wangu kwako na kwa mdogo wako mtafutieni chuo cha maswala ya Afya akasome zake Diploma kwa miaka 3 akimaliza hapo anze kupambana na ajira
mtaani..form 5 & 6 kwa hali ilivo sasa na vipato vyetu vya kati sioni kama ni big ishu sana.. as long as mtoto kafanya vizuri masomo ya sayansi kwa o level..
Hivo ndivo nionavyo na niaminivyo mimi...
 
Vizuri. Lakini hii point itafanyiwa kazí na aliyepitia huko A-Level.
 
Binafsi sioni sababu ya kijana aliyemaliza form four kugoma kula badala ya kufuatilia swala lake.
Of course inawezekana hiko anachokitaka.

Lakini kwanini asuse kula? Angekua mdogo angu ningemuonyesha mtu mzima anatakiwa kuwaje.
 
Mkuuu ushauri wangu kwako na kwa mdogo wako mtafutieni chuo cha maswala ya Afya akasome zake Diploma kwa miaka 3 akimaliza hapo anze kupambana na ajira
mtaani..form 5 & 6 kwa hali ilivo sasa na vipato vyetu vya kati sioni kama ni big ishu sana.. as long as mtoto kafanya vizuri masomo ya sayansi kwa o level..
Hivo ndivo nionavyo na niaminivyo mimi...
akimaliza diploma ataweza kuendelea na chuo kama kawaida au?
 
Binafsi sioni sababu ya kijana aliyemaliza form four kugoma kula badala ya kufuatilia swala lake.
Of course inawezekana hiko anachokitaka.

Lakini kwanini asuse kula? Angekua mdogo angu ningemuonyesha mtu mzima anatakiwa kuwaje.
hajasusa,hana appetite kwasababu ya stress. Anahisi ndoto zake zinafifia.
 
Mpeleke pandahill mbeya akasome PCB....kama haiwezekani mpelekeni Chuo cha diploma akasome clinical medicine...tena hii njia ya kusoma clinical medicine naona ndo bora zaidi
asante mkuu,akimaliza hiyo diploma si ataweza tu kuendelea na chuo kama kawaida au hairuhusiwi?
 
hajasusa,hana appetite kwasababu ya stress. Anahisi ndoto zake zinafifia.
Ishu anayoitaka inawezekana kama shule anayoenda ina hiyo kombi anayoitaka anaweza kubadilisha huko huko.
Au anaweza akahama shule kabisa ili kuifuata kombi anayoitaka.
 
nimekuelewa,kwahiyo kuhama shule inaruhusiwa??? mana tulikua hatuna uhakika hapo.
 
Kama combination ni pcb kuna point wanazitakaga kwa shule za serikali kama hana ha change nahisi mwisho ni two ya 19 i think
 
habari humu ndani,nina mdogo wangu kamaliza four ila kapangiwa shule na comby ambayo hakuchagua. Na cha ajabu hata hiyo comby aliyopangiwa kwenye hiyo shule aliyopangiwa haipo.
Je inawezekana kuhama??? from government to government(school)
comby ya PCB imebalance vibaya mno na ndo anayoitaka.
yani hali,ye ni kulia tu mda ote.
Msaada please,ushauri wenu,what to do?
na kama kuhama haiwezekani please naomba mnitajie shule za private sayansi zenye ada nafuu.
Mpeleke chuo cha Afya akasome clinical medicine, then atasoma degree ya udaktari akiwa ame-relax naww ume-relax,kwa sasa A'level naona kama kupoteza muda(najua ninachosema, japo mimi hii sikuambiwa ila nilikuja kugundua baadae sana kwamba nimepoteza time sana, maisha ni mafupi mno)
 
Back
Top Bottom