Around 60millions kwa mwaka halaf linganisha na hzo za serkalin..
Huko private anaweza akafanya kazi na akafungua miradi yake mingne ya kumuingizia fedha
Nimemshauri asiache kwa sababu waafrika hatuna nidhamu ya fedha ni bora aendelee kubaki serikalini. Maana anaweza akawa anatumia hela vibaya mpaka mkataba ukaisha na asifanye chochote then wasirenew mkataba.
Asiache ajira ya serikali.Mdogo wangu awali alifanya kazi private kwenye mradi mmoja lakini baada ya ule mradi kuisha bahati nzuri akapata kazi serikalini.
Sasa wale waajiri wake wa awali wamemuita tena kwenye mradi mwingine.
Government analipwa around Tsh1.2m gross salary ambayo ni ajira ya kudumu.Private atalipwa kati ya Tsh4.5m - 6m per month ila ni mkataba wa mwaka renewable kama akiperfom vizuri.
Anaomba ushauri je aache kazi serikalini aende private?
EU wametingisha kiberitiAsiache,soon JPM aliahidi mishahara awamu hii ya pili.
Go private hacha woga.Mdogo wangu awali alifanya kazi private kwenye mradi mmoja lakini baada ya ule mradi kuisha bahati nzuri akapata kazi serikalini.
Sasa wale waajiri wake wa awali wamemuita tena kwenye mradi mwingine.
Government analipwa around Tsh1.2m gross salary ambayo ni ajira ya kudumu.Private atalipwa kati ya Tsh4.5m - 6m per month ila ni mkataba wa mwaka renewable kama akiperfom vizuri.
Anaomba ushauri je aache kazi serikalini aende private?
Ukiahidiwa kitu na hyo uliemtaja, kisikie na ukiache hapo hapo kama kilivyo, ukikibeba utaumia vibaya mno.Asiache,soon JPM aliahidi mishahara awamu hii ya pili.
Swali nzuri sana, Huwezi sema nimepotea njia na hujui unakokwenda, maamuzi yake yatategemea anataka kufikia wapi kwenye maisha yake, kwa mfano kama anataka kufikia cheo cha juu ktk jamii nafasi kubwa iko Serekalini, lakini kama anataka kupata pesa nyingi sana, nafasi kubwa iko kwenye Private sector.Mdogo wangu awali alifanya kazi private kwenye mradi mmoja lakini baada ya ule mradi kuisha bahati nzuri akapata kazi serikalini.