MIGUGO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,131
- 3,911
Mdogo wangu awali alifanya kazi private kwenye mradi mmoja lakini baada ya ule mradi kuisha bahati nzuri akapata kazi serikalini.
Sasa wale waajiri wake wa awali wamemuita tena kwenye mradi mwingine.
Government analipwa around Tsh1.2m gross salary ambayo ni ajira ya kudumu.Private atalipwa kati ya Tsh4.5m - 6m per month ila ni mkataba wa mwaka renewable kama akiperfom vizuri.
Anaomba ushauri je aache kazi serikalini aende private?