Nkosilorch
Member
- May 4, 2024
- 23
- 25
Habari za muda huu Wana jamiiforum.
Aisee Kuna ishu ya dogo langu mmoja nashindwa kujua namsaidiaje huyu dogo alipata kazi serikalini mwezi December then akapeleka vyeti kwa ajili ya verification.
Sasa mwezi huo huo December alifanya usaili kwenye taasisi ya umma inayoajiri yenyewe kwenye mchakato mzima.
Sasa ishu ipo hivi dogo amepata kazi kwenye taasisi inayoajiri yenyewe na ameshasaini mkataba wa kuanza kazi rasmi sasa wakati anatarajia kuripoti hiyo taasisi ya kwanza imeshakamilisha mchakato wa ajira na dogo kapigiwa simu akakamilishe taratibu za ajira.
Sasa ishu ipo hivi kwenye hiyo taasisi ya kwanza ambayo verification ya vyeti tayari wamemwambia check namba yake tayari wakati hajasaini offer letter Wala kitu chochote na dogo anataka akaanze kazi taasisi ambayo ameshasaini offer letter ambapo maslahi yake ni mazuri sana.
Sasa hapa dogo yupo dilemma haelewi anafanyaje hofu yake akienda kuripoti kwenye hii taasisi aliyosaini offer letter hiyo check namba haiwezi kumletea ishu maana ile taasisi aliyopangiwa na utumishi salary ipo chini sana.
Kwa wajuzi wa mambo tunaomba usharudi dogo afanyaje hapa ili badae hii ishu isije ikamletea shida maana mi mwenyewe sjajua namshaurije hapa. Karibuni wadau kwa maoni, asanteni sana