Dogo afanyaje kwenye scenario kama hii??

Kwa wajuzi wa mambo tunaomba usharudi dogo afanyaje hapa ili badae hii ishu isije ikamletea shida maana mi mwenyewe sjajua namshaurije hapa. Karibuni wadau kwa maoni, asanteni sana
Kumamake kuna watu wana zari duniani hili ni zari la mental sio siri kabisa yaan duuh limetokea wakati dogo ana njaa na hapo kawekewa ugali huku na huku ugali huku ugali mdogo na huku ugali mkubwa Aah akilillah km ningekua ni mimi natembea na ugali mkubwa hao wenye ugali mdogo watajijua wenyewe huko
 
Hakuna Taasisi ya Serikali isiyotumia check number.
We nawe utaratibu huujui taasisi kibao tu zinaajiri zenyewe na Zina employer number, hizo check namba ni wale wanaotegemea mshahara hazina tu Kuna taasisi zinajilipa mkuu TRA,TANESCO,NSSF,NHIF,GBT,
PSSSF, huo ni mfano tu hao hawana check namba ila kwakua ni taasisi za serikali mwenye check namba unaweza kuhamia vizuri tu. Niambie ni lini umeona tangazo la hizo taasisi utumishi??, hao wanaomba kibali tu kwa katibu mkuu utumishi wakipata kibali mchakato wanasimamia wenyewe kwa kila kitu
 
Kumamake kuna watu wana zari duniani hili ni zari la mental sio siri kabisa yaan duuh limetokea wakati dogo ana njaa na hapo kawekewa ugali huku na huku ugali huku ugali mdogo na huku ugali mkubwa Aah akilillah km ningekua ni mimi natembea na ugali mkubwa hao wenye ugali mdogo watajijua wenyewe huko
Nafikiri hata ukiacha kule lazima utoe taarifa ukisepa kimya kimya italeta ishu
 
Mimi nalala kulia kudadek huko kushoto naandika barua ya kujiuzuru haraka sana kwamba naomba hio kazi mpeni mtu mwingine mimi nimeshapata kazi nyingine yenye maslahi zaidi km mnaweza ongezeni maslahi hamiwezi basi kwakherini nendeni mkatangaze tena nafasi ipo wazi
 
Ngoja waje kukupa muongozo...

Cc: Mahondaw

Mimi nalala kulia kudadek huko kushoto naandika barua ya kujiuzuru haraka sana kwamba naomba hio kazi mpeni mtu mwingine mimi nimeshapata kazi nyingine yenye maslahi zaidi km mnaweza ongezeni maslahi hamiwezi basi kwakherini nendeni mkatangaze tena nafasi ipo wazi
Yah huo ndo utaratibu mzuri kuliko usepe kimya kimya
 
We nawe utaratibu huujui taasisi kibao tu zinaajiri zenyewe na Zina employer number, hizo check namba ni wale wanaotegemea mshahara hazina tu Kuna taasisi zinajilipa mkuu TRA,TANESCO,NSSF,NHIF,GBT,
PSSSF, huo ni mfano tu hao hawana check namba ila kwakua ni taasisi za serikali mwenye check namba unaweza kuhamia vizuri tu. Niambie ni lini umeona tangazo la hizo taasisi utumishi??, hao wanaomba kibali tu kwa katibu mkuu utumishi wakipata kibali mchakato wanasimamia wenyewe kwa kila kitu
Interesting.

Nilikuwa sifahamu kuhusu hili ase.
 
Back
Top Bottom