Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,586
- 10,260
Sahih Bukhari 4:55:657Wapi imeandikwa atahukumu?
Wapi imeandikwa kwamba yeye ni Mungu?
Castle_Lite nimekuuliza haya maswali
Kumbuka umesema siku ya kiama 😃Sahih Bukhari 4:55:657
Mtume wa Allah alisema, "Naapa kwa Yule Ambaye nafsi yangu iko mikononi Mwake, hakika (Yesu,) mwana wa Mariamu atashuka hivi karibuni miongoni mwenu na atawahukumu wanadamu kwa haki (kama Mtawala wa Haki); atavunja msalaba na kuua nguruwe, na hakutakuwa na Jizya (yaani, kodi inayotozwa kutoka kwa wasio Waislamu). Pesa zitakuwa tele kiasi kwamba hakuna mtu atakayezikubali, na kusujudu mara moja kwa Allah (katika sala) kutakuwa bora kuliko dunia nzima na vyote vilivyomo ndani yake."
Sasa ngoja tuone wewe unamfuata Yesu au unafuata DOGMA za Wazungu
Hili andiko umetoa wewe mwenye kuwa Yesu kondoo wake amewapa uzima wa milele
Yohana 10:27
Kondoo wangu waisikia sauti yangu; nami nawajua, nao wanifuata.
Yohana 10:28
Nami nawapa uzima wa milele; wala hawatapotea kamwe; wala hakuna mtu atakayewapokonya katika mkono wangu.
Na uzima wa milele ambao Yesu aliwapa kondooi wake ndio huu hapa
Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
Kama kweli wewe unamfuata Yesu basi lazima uamini na ukubali kuwa Mungu ni mmoja tu na Yesu ametumwa na huyo Mungu mmoja
Na kweli unaamini hivyo basi karibu katika uislam maana hilo analosema Yesu hapo ndio fundisho namba Moja katika uislam hapo Yesu anatoa shahada Yani anashuhudia kuwa Mungu ni mmoja na yeye ni mtume wa Mungu
Ila Kwa sababu wewe unafuata DOGMA hayo Maneno ya Yesu hapo hauyafuati Wala hauyaamini
Kumbuka umesema siku ya kiama 😃
Kuhusu kutokana na neno la Allah hata Adam pia katokana na neno hilo je na yeye ni mungu?Ametokana na Neno la Allah.
amefufua wafu. Kuumba ndege, ameongea akiwa mdogo sana, alijua kusoma na kuandika pasipo kufundishwa, na miujiza ming ming.
Ameitwa Masihi.
Hakuna mtume ameitwa masihi kwenye Quran.
Quran inasema mfano wa Nabii Issa ni kama wa Adam.
Nabii pekee alimuomba Allah chakula na Allah akakishusha wakala na wanafunz wake.
Qur’an kamwe haijakopi bibliaMsilazimishe kuwa Mungu wa Biblia ndio Allah.
Lini utapata ufahamu ujue kuwa Quran imecopy Biblia?..
Na kutunga hadith zake za uwongo na kweli.
Hebu kuweni serious.
Wakristo hawaitambui na kamwe hawawez itambua Quran.
Nyiny ndio kutwa kucha kuhangaika na Torat na Injili.
Bakin na Quran yenu.
Kuhukumu mbona wanahukumu watu wengi tu duniani na huko siku ya kiama uliyoitaja atakayehukumu ni Allah tu na Isa mwenyewe atahukumiwaKumbuka pia nilisema Kuhukumu.
Kitu ambacho mohamed kamwe hawez kufanya.
Kitu ambacho Mungu pekee anafanya.
Mkuu naona unapambana kutoa daawa..Hofu yangu watakuelewa!!! Maana kuna walionyweshwa ijaza na wenye kiza kwenye nafsi zaoTaqiyya ni somo la waislam lakuikana Iman pale wanapokuwa hatari kukwepa kuuwawa au kuteswa maana yake ni somo la kudanganya kwasababu ya Imani,
Pia kwenye kutangaza uislamu wameamriwa kutumia uongo, ndio maana uislamu umejaa uongo wa kila aina ,
Daawa gani wakati mpotoshaji tu huyo tena asiye na hoja za maana 😃Mkuu naona unapambana kutoa daawa..Hofu yangu watakuelewa!!! Maana kuna walionyweshwa ijaza na wenye kiza kwenye nafsi zao
Ukristo ndo una chuki zaidiNaumia sana kuona dini imejaa chuki yaani kwanini uislamu unachuki hivi.
Kobazi MBA vituko sanaUkijua kuwa atarud . Inatosha.
Ndio Nabii pekee Quran inamuheshim.
Alaf Quran haiwez Kinzana .
Hapa Quran inasema
Kuwa Yesu alikufa na atafufuliwa.
“...Hakika mimi ni mtumwa wa Mwenyezi Mungu. Amenipa Kitabu na amenifanya Mtume; na amenijaalia ni mwenye kubarikiwa popote pale niwapo. Na ameniusia sala na zaka maadamu niko hai, Na nimtendee wema mama yangu. Wala hakunifanya niwe jeuri, mwovu. Na amani iko juu yangu siku niliyozaliwa, na siku nitakayokufa, na siku nitakayofufuliwa kuwa hai.” (Kurani 19:30-34)
Na hapa inasema alipaa.
Quran 3: 55 - Pale Mwenyezi Mungu alipo sema: Ewe Isa! Mimi nitakufisha, na nitakunyanyua kwangu, na nitakutakasa na wale walio kufuru, na nitawaweka wale walio kufuata juu ya wale walio kufuru, mpaka Siku ya Kiyama. Kisha marejeo yenu yatakuwa kwangu, nikuhukumuni katika yale mliyo kuwa mkikhitalifiana
Quran 4:158
Bali Mwenyezi Mungu alimnyanyua kwake, Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu na Mwenye hikima.
Hapana aisee nimefanya utafiti nikagundua waislam wa Tanzania hawana akili mbona lebanon watu wanashiriki hata sikukuu za dini ya mwenzie ila bongo sasaUkristo ndo una chuki zaidi
Qur’an kamwe haijakopi biblia
Nami pia nimefanya utafiti nimegundua wakristo wana chuki kali dhidi ya Uislamu dunia nzimaHapana aisee nimefanya utafiti nikagundua waislam wa Tanzania hawana akili mbona lebanon watu wanashiriki hata sikukuu za dini ya mwenzie ila bongo sasa
Qur’an hata haiitambui biblia.Bro kuwa serious basi na uone aibu. Sio kila kitu unatetea hata vilivyo wazi.
Quran haijacopy biblia?.
Kuna vitabu vya dini mfano ubudha. Mbona story zake ziko independent.
Why Quran ziendane na Biblia?.
Unaona Sasa umeacha maandiko umerudi katika DOGMAMsilazimishe kuwa Mungu wa Biblia ndio Allah.
Lini utapata ufahamu ujue kuwa Quran imecopy Biblia?..
Na kutunga hadith zake za uwongo na kweli.
Hebu kuweni serious.
Wakristo hawaitambui na kamwe hawawez itambua Quran.
Nyiny ndio kutwa kucha kuhangaika na Torat na Injili.
Bakin na Quran yenu.