Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,653
Boflo, huyu ni bata gani anayetangulia mbele ya watoto wake?
Nijuavyo mimi bata huwatanguliza vifaranga wake, kisha yeye hubaki nyuma.
Huyu bata aliyewaacha wanawe wadumbukie mtaroni ni mfano halisi unaotukabili sisi leo.
CCM imetundumbukiza mtaroni wakulima na wafanyakazi, imebaki na mafisadi inaowalinda na kuwakumbatia kwa udi na uvumba.
JUMAPILI KAREEM
Huyu bata mie namwana kwamba ni genius.
Kwa nini ulee mapakashume ambayo hayana hata chembe ya akili??
Kama hayo matoto yangekuwa na akili, yangekataa kuvuka na kumlazimisha mama kurudi kuwatafutia njia bora.
I wish tungepata mtu kama huyo bata ili atusaidie kusafisha virus vilivyoenea kila mahari....hata ikibidi kubaki na Mtanzania mmoja, ni poa...atazaa na kuanza upya!!
Babu DC!!