Does This Pict Make U Laugh or Feel Sad? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Does This Pict Make U Laugh or Feel Sad?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Boflo, Oct 14, 2012.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,393
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Does this pict make u laugh or feel sad.jpg
  .............
   
 2. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 5,565
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Huyo mmoja aliyebaki ndo kidume,hiyo ndiyo cream ya uzazi wake.
   
 3. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 1,981
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  very sad aisee....
   
 4. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,454
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Hivyo ndivyo nchi yetu ilivyosimama. Huyo aliyesalia hapo ndiye mla nchi, sisi tulisalia tutaishia kutumbukia kwenye mashimo hayo. Kazi kwenu.
   
 5. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,393
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Umeenda mbali sana mkuu..
   
 6. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,490
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Kasema kweli, tena afadhali hapo huyo mama bata amegeuka hata kuangali kuona nini kimetokea, she cares, huku kwetu inakuwa ni upepo tu na ndo umepita hivyo
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,594
  Likes Received: 10,077
  Trophy Points: 280
  Boflo, huyu ni bata gani anayetangulia mbele ya watoto wake?
  Nijuavyo mimi bata huwatanguliza vifaranga wake, kisha yeye hubaki nyuma.
  Huyu bata aliyewaacha wanawe wadumbukie mtaroni ni mfano halisi unaotukabili sisi leo.
  CCM imetundumbukiza mtaroni wakulima na wafanyakazi, imebaki na mafisadi inaowalinda na kuwakumbatia kwa udi na uvumba.
  JUMAPILI KAREEM
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,395
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Nimejisikia vibaya, ni huzuni kumpoteza hata mmoja kati ya wadogo hawa!
   
 9. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #9
  Oct 14, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,393
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Ukiongozwa njia na kipofu, hayo ndio matokeo, ni sawa sawa na sisi tunavyopelekwa shimoni na mkulu
   
 10. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #10
  Oct 14, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,341
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  So sad! Mama amewaua watoto wake!!Hata kwenye mabasi kumeandikwa,abiria chunga mzigo wako!!!
   
 11. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #11
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 13,508
  Likes Received: 942
  Trophy Points: 280
  oh so sad!dah!
   
 12. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,393
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Umeona ee!, lakini mama hastahiki kuhukumiwa...ameua bila ya kukusudia, alidhani uwezo na akili za watoto wake ni

  sawa na zake
   
 13. S

  Sunga Member

  #13
  Oct 14, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 83
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Hivyo ndivyo magamba wanavyo baki wa chache na kumuachia mama yao aendelee kuongoza taifa!
   
 14. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #14
  Oct 14, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,542
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Bata wajifunze kutanguliza watoto mbele na si kuwaacha nyuma, watoto wanahitaji kuongozwa
   
 15. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #15
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Nimecheka na kusikitika kwa wakati mmoja. Maskini mama bata alidhani wanae wana vidole vipana kama vyake.
   
 16. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #16
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,109
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Na wewe umeenda mbali
   
 17. lakiwosha

  lakiwosha Senior Member

  #17
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 9, 2012
  Messages: 176
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  jelous:lol:
   
 18. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #18
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 9,172
  Likes Received: 4,647
  Trophy Points: 280
  Bata siku zote hutembea mbele watoto wake wakamfuata nyuma.

  duck-ducklings-crossing-the-street.jpg
   
 19. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #19
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 9,172
  Likes Received: 4,647
  Trophy Points: 280
  Binadamu tunakosaga lawama?!

  Angewatanguliza bado ungesema kawatanguliza wametumbukia mwenyewe anakuja nyuma kizeeeembe kama mjamzito. Kama kuwaongoza ndio kawaongoza tayari, ndio maana alikuwa mbele yao. Au ulitaka aongoze kama nahodha wa mashua?
   
 20. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #20
  Oct 14, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,542
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Angekuwa mbele yao angewaepusha kwa kuwastopisha hasa nyumani atajuaje kinachoendelea, halafu huyo bata akili hazimtoshi kwanini kawaongoza wanaye kwenye njia ya hatari, ni nini mantiki ya kutangulia kama si kutengeneza njia?
   
Loading...