Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
- Thread starter
-
- #141
Hiyo age unayoongelea kwa wote naona sawa kabisa, maana yake nini; Ni kwamba wote mko kwenye umri uliokomaa kimahusiano ni umri sahihi wa kuoana. Suppose tupunguze umri wenu miaka miwili, utaona kuwa mwanaume akiwa na umri wa miaka 28 na wewe miaka 18 utaona kuwa marriage hii itakuwa iko sahihi kwani umri bado nauona si tofauti kubwa kama unavyowaza. Kingine ambacho nakiona kuwa kingekuwa ndio kigezo halisia kuliko vyote, ni jinsi mapenzi yenu yalivyojiunda, namaanisha upendo wenu ukoje ndani ya mioyo yenu kama inashabihiana na kuridhiana, huyo ndio wako wa maisha.
Eli79 my best friend asante sana.......
btn mbona sijakuona CC ila ukimuona my wii Lady doctor na pacha wake Passion Lady
waambie nawatafuta kwa udi na uvumba....
nimekuja wii wangu, mwenzio hayo yanayo kusibu ndiyo ninayaishi mwenzio.......... Nipo kwenye age kama yako ila shemejio kanipita 9yrs........! Uzuri wake anajua sana kucare ila sasa ananifanya kama mwanae kila kitu nifanye chini ya amri yake, hivi karibuni alikuwa anataka kuniachisha kazi nikashtaki kwa wazee tukayamaliza!!!!! Inaniboa sana hiyo tabia ila kikubwa nami nimemjulia wapi pa kumchesha akili so, hatushindwani na tunapendana sana!
Uamuzi ni wako my wii kama mnapendana umri si chochote ndani ya mapenzi kikubwa ni kuheshimiana!
Eli79 my best friend asante sana.......
btn mbona sijakuona CC ila ukimuona my wii Lady doctor na pacha wake Passion Lady
waambie nawatafuta kwa udi na uvumba....
my wii yaani nimekutafuta wewe basi tu.....
kumbe we are on the same boat LOL!!!!!!!
we mathcom nikoje!!!!!!!!!!
swali;je kwenye swala la kuniambia fanya hiviusifanye hivi is it OKAY?
we ulikuwa ulikuwa una mcontroll mkeo some how just because of age!!!!
Cha kuangalia ni merits ya kile anachosema DO au DON'T DO. Binafsi naona kama anatimiza ile role ya mume kuwa kiongozi, ila inaonekana wewe unachukulia kama anaku-force au kuku-command vile. If it makes sense, then take it positively
Olewa haraka. Hamna ushauri mwingine. Muda mwingine ukiwa na swala la kuweka kwa uzi chagua lugha unayoifahamu vyema. Kama ni kiswahili sawa, kama english ok, kama kichaga sawa. Hii habari ya kuchanganya lugha naona kama ushamba fulani vile... au utoto wa kidato cha pili. Acha hiyo tabia ni mbaya na inakera. Hakuna atakaye kudharau/kukusifu kwa ajili ya kutumia lugha fulani. Tumia hata 'kikara'. Iwe tu kwa usahihi.
Yaani hizo DO and DONTS unadhani zina madhara basi.......
ni ile tu naona kama anataka kubadilisha lifestyle yangu.....
Tena nampa big up kabisa! lifestyle yako lazima ibadilike ili mwendane. Kifupi anachofanya ni kuku-bold ili uwe mke mwema kadri ya matakwa yake, uwe mama mzuri wa watoto wake, mke anaye-behave au anaye-act sawa sawa na mapenzi ya mumewe.
Believe me or not, kila mwanaume anavile ambayo angependa mke wake awe, yaani afanye hiki lakini asifanye kile! awe na tabia hii lakini siyo ile, etc.
asante miss strong,mama namshirikisha hii kitu
cos n mtu Open na huwa tunaongea mambo mengi......
My sis ye majibu yake cmple and clear unaeza hata ulie,bora nishee tu na nyie
wana MMU wenzangu ila ye ntamwambia tu kama kumpa taarifa.......