Freedom tommorrow
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 1,795
- 1,132
mkuu NIMPENDENANI ina maana hata 1inch unaweza kuitumia kum satisfy mwanamke???, we real need help frm girls
Kaka uwezi kupata jibu sahihi kwani wanawake wametofautiana ANATOMY ZAO. kuna watakaosema yes na No. tofauti ni kuwa kuna wanawake wanye long canal na wenye short canal. Mwenye short canal akiingiliwa na mwenye long penis huwa anaisi maumivu na distrurbance wala tendo la ndoa hana hamu nalo. ila mwenye long canal akiingiliwa na mwenye short penis ni vigumu kuwa satisfied hivyo anakuwa hajaridhika. hivyo fanya assessment kwa mkeo ana long or short canal ni rahisi kumtambua.