Does Magufuli care?

sawabho kwani wakienda kwa wananchi watauza ajenda zipi?

Zile za kwao wenyewe walizozisimamia zikaa matunda?

Au zile walizozikwapua toka kwa Serikali au Rais?

Kwani wakati wanafanya kampeni waliahidi nini mkuu?

Hizo ahadi ndiyo nazisema na kuzipigia upatu zitekelezwe!
 
Walichoahidi ndicho Serikali inafanyia kazi, kwa hiyo wako makini kuangalia kuwa zinatekelezwa kwa kufuata Katiba ya Nchi kwa kufuata misingi ya Utawala Bora.
 
Rais anajali sana. Asingekuwa anajali asingetengua ubunge wa Abdala Posi. Wala asingesitisha ile operesheni feki ya mihadarati. Asingekuwa anazungumzia uchapakazi wa Makonda. Hii ni mifano michache tu.
 
Umechambua vema kabisa, sijui wao wanataka ajenda ziwe zipi yaan ni kituko kweli
 
GreenCity how?through political rallies in their constituencies.

When?anytime,anywhere,everywhere...

Where?in the mass media,out there,or here on online platforms!
Hahaaa! Eti in their constituencies! Since when rallies zimekuwa limited kisheria "in their constituencies"?

Bungeni kama ilivyo kuwa addressed, kuwa spika awashughulikie ili waongelee nje ambapo ata deal nao!

Bila utawala wa sheria, maoni kwenye thread yako is not practicable!
 
Rubbish
 
Mtu anavunja katiba, asisemwe!? Sasa mnataka opposition waseme nini jamani? Online Pastor kwanini usijikite kwenye dini tu, you are too weak in politics!

yes

Haiwezekani hata wiki haijaisha hoja zote madiwani kununuliwa,Lissu kushambuliwa zishapoa na sasa kila mtu anazungumzia uwalakini wa Magufuli kumteua CC wa Bunge.


Niwaulize wapinzani ni lini Magufuli alishawahi kujali kauli zenu.


Mmemusema Makonda wee,alijali?


Mmemusema Kalemani,alijali?


Na sasa mnausema uteuzi wa Katibu wa Bunge,atawajali?


Ifikie kipindi Upinzani mkomae na ajenda zenu wenyewe badala ya kurukiarukia za wengine ili tu msikike.


Najua Upinzani uko desperate to get any public limelight,wako tayari kusikika hata kwa kumsema Rais,ila anajali.


The Opposition is dying to be heard and for public sympatiy.


But at whose expense?


Magufuli amewarushia fupa la CC wa Bunge mmebweka,na kuhamisha mijadala yote.


Na najua mtasema wee,na kutishia kwenda kwa mahakama ya wananchi na ile iliyo chini CJ.


Na najua na leo atawarushia fupa jingine wakati wa uapishaji wa wateule na mtasahau ajenda zote mnazozipigia kelele ikiwemo uteuzi CC wa Bunge.


Kama kawaida baada ya hotuba yake leo mtaongea sana kwa wiki nzima.


But Does Magufuli care?[/QUOTE]
yes he does 100%
A person who doesnt care is a careless person. Is he?

yes he does more than 100%
 
Mhhh.
 

If it doesn't disturb your prayer, why bother?
 
Ni moja ya jukum la wapinzani. Japo wapinzani wetu wapo weak sana, chama tawala saivi kinaishi kwa nguvu ya vyombo vya dola tuu.

Wangekuwa weak wasingemiminiwa risasi 40
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…