Hainaga formula...hata wanaokutana kanisani wanavunja ndoa vile vile,..i once read a finding of a research on American couples,wanasema most religious christians have a higher divorce rate than less religious couples...

Sure!....bt wat the percentage ndo ishu
hainaga percentage,game of love ni pata potea...
Tehe tehe....umenkumbusha ule mchezo wa kibirit chenye njiti...
Ofcoz love gat no formula...ila sijapata mawazo ya upande wa pili...kwa mwale ambao wanamin where we first met matters alot!
Ishatokea hiyo mkuu.Hahahaha mkuu umenvunja mbav
Mimi sijawahi kusafiri nje ya Tanzania wala sina kitu kinachoweza kunifanya nisafiri. Mume wangu 'kutoka kwa bwana' ni mThai ambae nae hajawahi kufikiria kuja Tanzania. Ntakutana nae wapi kama sio kwenye social networks?
Tunaishi mbali mbali, kazi tunafanya mbali mbali, hatuna ndugu wala rafiki wa pamoja tutakutana wapi kama sio kwenye daladala, club, bar na hizo sehemu nyingine ambazo unadhani ndio IDEAL?
Sehemu mnayokutana sio guarantee ya mahusiano kuwa imara au kutoweza kwenda mbele. Kama kungekuwa na guarantee kuna sehemu ambazo watu wangekuwa wanaenda ili tu kukutana na 'potential' partners ili wakianzisha mahusiano yadumu.