MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
............Thanks NN....... I just wanted to confirm my worries. Aksante kwa jibu zuriAbsolutely age does matter! If I am in my mid twenties and I marry a woman in her early forties, after 15 years I doubt I'd still find her attractive, not to mention other issues such as menopause, decreased libido, and all that jazz. So definitely age matters. You don't want the discrepancy to be significant.
I second you there, lakini on the other hand mi sioni tatizo kama mmetofautiana kidogo i.e. mme umemzidi mke miaka 2 au yeye amekuzidiAbsolutely age does matter! If I am in my mid twenties and I marry a woman in her early forties, after 15 years I doubt I'd still find her attractive, not to mention other issues such as menopause, decreased libido, and all that jazz. So definitely age matters. You don't want the discrepancy to be significant.
I second you there, lakini on the other hand mi sioni tatizo kama mmetofautiana kidogo i.e. mme umemzidi mke miaka 2 au yeye amekuzidi
miaka 2 au mko sawa. Unless kama kuna matatizo ya ugonjwa au ya kurithi ambayo yanaweza kumfanya mmoja aonekane mzee kuliko umri wake. Wazungu wengi wanaolewa na wanaume wadogo kuliko wao.......... labda niseme hii sio culture yetu.........Hay MJ1 kama umepata kitu roho inapenda, don't look back ............. si unajua Mke wa lutu kilimtokea nini .....:smile-big:
ni kweli na kama mwanaume ni mrefu sana kumzidi mwanamke ni posiible yeye kuonekana mzee mapema kuliko mwanamke, unajua wanawake inategemea sana shughuli na cosmetics unazotumia unaweza onekana mzee au kijanaNdiyo maana nikasema tofauti yapaswa kutokuwa kubwa. Miaka miwili wala siyo mbaya kabisa. Yaani tena ni safi sana
I second you there, lakini on the other hand mi sioni tatizo kama mmetofautiana kidogo i.e. mme umemzidi mke miaka 2 au yeye amekuzidi
miaka 2 au mko sawa. Unless kama kuna matatizo ya ugonjwa au ya kurithi ambayo yanaweza kumfanya mmoja aonekane mzee kuliko umri wake. Wazungu wengi wanaolewa na wanaume wadogo kuliko wao.......... labda niseme hii sio culture yetu.........Hay MJ1 kama umepata kitu roho inapenda, don't look back ............. si unajua Mke wa lutu kilimtokea nini .....:smile-big:
Rwakatare nini huyu?
BTW, kuzeeka kwa mwanamke kunatokea kwa sababu kadha kama mifano ya hapo juu!...Lakini pia kuzazaa bila mpango pia humfanya mwanamke achoke sana...! Ukifananisha mwanamke wa kijijini ambaye ulimaliza nae may be shule ya msingi, kwakweli hutomtamani!
Lakini pia factor ingine inayomzeesha mwanamke ni kwamba anawaza juu ya shughuli za pale nyumbani kuliko mwanaume!...
Hata kama kuna h/girl, lakini yey ndiye anayepanga mipango yote ya chakula, usafi,ugeni, kulea- mind you , anatumia bongo na damu kwa kila tendo, wakati mwanaume mostly atakuwa anabadilisha channel za runinga! Kwahiyo kuzeeka kwa mwanamke ni kweli kupo beyond reasonable doubt!
Hivyo sasa, nadhani ni busara muoaji akawa makini na umri wa mchumba wake wasizidiane sana.
Difference ya(=) (+)(-)3 si mbaya sana!
Huyo mchungaji hayuko mbali sana na ukweli, japo inabidi kuwa makini sana kueleza jambo kama hilo kwenye mahubiri, maana unaongea na watu ambao tayari wengine ni couples(na huenda zingine zina diff. hadi ya 7), sasa unaweza ukakuta unawakwaza baadhi, na kuwarudisha nyuma kiimani!
Tuko pamoja PK
Darling.....Wanikatisha tamaa Mama KUBWA inamaana we Dig Dig hunifai kumbe bore mi nirudi kwa Big tu.... Nimuombe yaishe nirudi kwake
PJ.... muulize GY kuhusu MAGAZIJUTO au BODMAS atakueleza vizuri jinsi ya kukalkuleti hiyo mambo....
Dear Mamboz! Hope wote wazima
Ninauliza tu kama ni kweli......... Leo asubuhi nilikuwa nasikiliza mahubiri kutoka kwenye Radio moja hapa Dar. Alikuwa mchungaji wa kike akawa anasema kuwa ni muhimu kwa wanandoa kuhakikisha kuwa wanapishana vya kutosha kiumri................ Na alisisitiza kuwa Mwanaume anatakiwa kuoa mwanamke ambaye ni mdogo kwake kwani wanawake wana (tuna) zeeka mapema so to avoid mwanaume kuona aibu kuongozana na mkewe ambaye ataonekana mzee kuliko yeye ni bora akaoa mke mwenye umri mdogo kuliko yeye. Hii inaniletea maswali makuu mawili
1. Is it true? If it is indeed then the,
2. So usemi wa mapenzi ni maua, popote huchanua sijui age aint nothing but a number e.t.c haiapply practically?
Wakuu, ninaomba msaada wenu juu ya hili
Darling mtazamo tu huo usikutishe, wala kamba haijakatika
Roho ishaanza kuaga mwili kuelekea kwa Big....
MJ1 Nadhani kaongea ukweli lakini pia kuna wanawake ni wadogo kiumri lakini wana-maumbo makubwa cha msingi ni matunzo ,kama mama mdada utajitunza na kujipenda unaweza kuwa na 50 mtu akikuona akadhani una 40 matunzo yana matter zaidi
Upendo wa kweli hauangalii sura wala maumbile hata kama atakuwa mzee lakini kama una true love kwake hutoweza ona chochote....utaendelea kumpenda na kumuona wa thamani vilevile
Upendo wa kweli hauangalii sura wala maumbile hata kama atakuwa mzee lakini kama una true love kwake hutoweza ona chochote....utaendelea kumpenda na kumuona wa thamani vilevile