Usihofu.Sadaka pekee wanaDodoma wanayoweza kuitoa kumshukuru Mungu kumponya Lissu ni kumsindikiza kesho kwenda kuchukua fomuTujitokeze kwa wingi kumlaki shujaa Lissu.
Acha blah blah...Naona sindano imekuingia hasaHapa ndo hua siwaelewi chadema, hapa wanategemea umati mkubwa kumpokea na kumsindikiza Lissu kuchukua fomu, same person anaehojiwa na kudai maambukizi ya corona kuwa makubwa na kuua watu wengi nchini. Na sijaona katika taarifa ya mleta uzi popote akiwatadharisha/kuwaonya watakao mpokea mtu wao kuchukua tahadhari na hatua stahiki za kujilinda wakati wa mapokezi. Nini ni nini, tunatakiwa kumuamini nani kati ya wanaodai corona haipo na wanafanya mambo yao as usual au wanaotuaminisha kuwa corona ipo na inaua ila wanafanya mambo yao kama wasio amini uwepo wa corona nchini?
Mgombea urais chadema jitafakari, unauza mechi aidha kwa kujua au kutokujua
Mkuu hv una mwamini kweli huyo mtu?? Huyo ni bia yangu ujue ..ratiba iko hvyo wala hiyo sikukuu haiwezi kuvuluga ratiba za NEC ...mpuuze tu huyo bia yanguWw ni msemaji wa tume? Sio vibaya pia Molemo akitolea ufafanuzi kama wamehakikishiwa kukuta ofisi ikiwa wazi.
Hiyo ndiyo sauti yake, huwa hana sauti ya kubembeleza!Kuna baadhi ya maneno anaongea yanampotezea haiba yake.
Bora um3lifafanua hili kiongozi.Ofisi itakuwa wazi.Sikukuu haziingiliani na ratiba ya Tume
NEC Haina Nyingine Bila Shaka Hilo La Copy Ni ShidaFomu ilikuwa moja tu time, kama anataka aende kwa Magu akaombe atoe copy ajaze arudishe
Kwa nyie FAO la kujitoa linarudi...madaraja mtapanda kwa mujibu wa sheria na kanuni za mtumishi wa umma.Lisu usije puuza watumishi wa umma.
We kweli ni kiongozi kama unavojinasibu? Naanza kuamini upande huo hamna wa kumshauri Lissu kama tindo alivoshauri ifanyike. Poleni sanaAcha blah blah...Naona sindano imekuingia hasa
Sijamsikia akidai kuwatetea wanyonge lakini wanyonge ni wale tu waliofanywa hivyo na Magufuli, Lissu anatetea Watanzania wote ikiwa pamoja na wewe unayeunga mkono juhudi ili tu upate uteuzi usiositahili.Lissu hawezi kushinda na kamwe hatakuwa rais wa Tanzania labda jua libadili uelekeo,kwa lipi lissu kaifanyia Tanzania na watanzania hadi wampe heshima ya kiongoza nchi yetu?
Lissu ni mtu hatari sana kwa mstakabari wa taifa letu kwani ni selfish person, ni mtu mwenye jazba,hana nidhamu,amejaaa chuki,na anatumika na nchi za magharibi ili kuvuruga mstakari na umoja wa taifa letu,huyu bwana hafai lazima apingwe kwa kila namna .
Harafu mtu anaposema lissu atakuwa rais ni kujidanganya sana,ataongoza serikali ipi ikiwa chama chake hakina uhakika wa kupata japo wabunge watano,hii ni ndoto
Mwambie lissu kuwa amejidanganya na kama anamatumaini ya kuiongoza Tanzania basi kapotea,
Eti mtetezi wa wanyonge,wanyonge wepi hao anaowatetea ?
Tunashukuru Molemo kwa kuleta hii habari. Kuna uzito fulani kwenye kitengo cha habari cha cdm, kiasi kwamba kuna uzi humu jukwaani unaohimiza kitengo cha habari kuamka. Kuna ushauri pia kuhusu Tundu Lisu jinsi ya kufanya siasa zake bila kupoteza credibility yake. Ni vyema kama chama mkakaa na Lisu na kumfunda. Kuna baadhi ya maneno anaongea yanampotezea haiba yake.
Hahaaa mtapata kazi sana mwaka huu kwa sababu lissu Ni mropokaji
Lissu hawezi kutofautisha maneno Kati ya kuongea na press,hadhara,bungeni au mahakamani yeye anarusha tu
Wiki ya kwanza tu ya kampeni mtajuta kumchagua lissu,mtamkumbuka Nyalandu
We jamaa mnafiki sana.
Neno zuri kabisa. Chadema waongeze watumishi katika kitengo cha habari cha chama kwa kuweka vijana mahiri na wazoefu.Tunashukuru Molemo kwa kuleta hii habari. Kuna uzito fulani kwenye kitengo cha habari cha cdm, kiasi kwamba kuna uzi humu jukwaani unaohimiza kitengo cha habari kuamka. Kuna ushauri pia kuhusu Tundu Lisu jinsi ya kufanya siasa zake bila kupoteza credibility yake. Ni vyema kama chama mkakaa na Lisu na kumfunda. Kuna baadhi ya maneno anaongea yanampotezea haiba yake.
Karibu Sana mkuuMimi nimeshafika Dom tayari Kwa maandalizi ya niyeye
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Umegundua hilo leo? Mbona yuko hivyo muda wote. Nyie jipangeni kufuta kinyesi atachokuwa anakunya kwenye mikutano mna mfuata nyuma kusafisha.
Mdomo wake unahalisha sana.