Dodoma yasubiri baraka kuwa Jiji

Dodoma yasubiri baraka kuwa Jiji

mbwa koko msidhani kuwa Dodoma imepandishwa kwa bahati mbaya
 
Siku hizi wanasiasa ndio wanaamua mji flani uwe jiji, kama maamuzi haya yangekuwepo enzi ya Mwalimu ama Mwinyi basi Mwanza ingekuwa jiji tangu miaka ya 70
Hakuna nchi wanasiasa hawahusiki kuamua mji flani uwe jiji
 
Tusifanye mambo kwa kukurupuka. Nimezunguka miji yote nchini pia nchini kadhaa za Afrika ikiwemo SOUTH AFRICA. Tanzania hatuna mji wenye hadhi ya jiji. Labda Dar es Salaam japo nako kuna changamoto nyingi zinazotakiwa kurekebishwa. Dodoma bado sana ila tutafika. Halmashauri ya Manispaa kwa sasa ijikite kuupanga mji.
Even Dar is not a city, Mji wa hovyo ule japo kwa nchi yetu ndio angalau angalau. Kwa mimi kama Tanga, mbeya, arusha ni majiji, basi dodoma inastahili mno.
 
Hakuna nchi wanasiasa hawahusiki kuamua mji flani uwe jiji
Nakubaliana na wewe ila mchakato unaanzia kwa technical staffs (wataalam wa serikali) hata kama utakuwa influenced na wanasiasa ila mwisho wa siku taratibu zote zinafuata na mwisho inapewa hadhi ya jiji....kwa mchakato wa sasa unavyopelekwa faster nadhani kuna miji hapa ingekuwa majiji tangu Mwaka 1982
 
Back
Top Bottom