Dodoma: Yanayojiri kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na BAWACHA

Screenshot_2024-03-08-15-58-07-1.png
 
Ile taarifa yake ya utafiti wa kina iliyowahi kutolewa, bado inasimama mpaka leo:

CHADEMA inaungwa mkono zaidi na wasomi na vijana. Na wangekuwa wanapima uwezo wa akili ya mtu, hakika taarifa ingebadilika kidogo, na kuwa CHADEMA inaungwa mkono zaidi na watu wenye akili, wakweli wa nafsi na wasio wanafiki.

CCM inaungwa mkono na watu wajinga na wazee. Nafikiri wangeenda ndani zaidi, taarifa ingebadilika kidogo na kuwa CCM inaungwa mkono zaidi na watu wenye akili ndogo, wanafiki, wabinafsi na mafisadi.
Anayeiunga mkono CCM,
- akiwa ana akili, basi atakuwa mtu mnafiki au mbinafsi anayeona maslahi yake anayafikia kiurahisi kwa kuwa mnafiki.

- Asipokuwa mnafiki, unakuta ni mtu mwenyr akili ndogo.

- Kama ana akili, siyo fisadi, basi atakuwa mpigania tumbo lake.

Nina hakika hapo Dodoma, wakitafutwa wanawake wasomi, walionyoka, wakweli wa nafsi na wenye akili kubwa, watapatikana kwenye humo ukumbini. CCM inacheza na wanawake wa kutushiwa Tshirt, kanga na kilo za chumvi na sukari.
Na wasio fuata hivyo vyama vyenu mnawaweka kundi gani? Au mtu akiwa kinyume na itikadi za kisiasa za kuunga juhudi za vyama vyenu mnamuweka ktk makundi mabaya?

Siasa ni upuuzi
 
Kiufupi Uchaguzi wa 2025 utakuwa moto kuanzia kura za maoni CCM hadi Uchaguzi kamili wa Vyama Vingi

Mtemi Chenge na wenzake wanaodaiwa kuporwa Majimbo na Shujaa wanarudi kwa kasi akiwemo Stephen Maselle, Dr Mwakyembe nk...nk

Freeman Mbowe ameliamsha Dude dadeki 🐼

Mlale Unono 😀😀🔥
 
Tuweke tu Itikadi pembeni na tuseme Ukweli BAWACHA ni Taasisi Bora kabisa miongoni mwa Taasisi za Wanawake nchini

Nakumbuka Shujaa Maguful alijitwalia wabunge 19 kutoka Bawacha ndio hawa Akina Halima James Mdee 😂

Rais Samia alikuwa Mgeni rasmi kwenye mkutano wa Bawacha mwaka jana

Ndio kusema Viongozi Wakuu wa CCM na Serikali wanaikubali sana Bawacha

Bawacha ni zaidi ya Chama kizima cha ACT Wazalendo

Mlale Unono 😀🔥
 
Kiufupi Uchaguzi wa 2025 utakuwa moto kuanzia kura za maoni CCM hadi Uchaguzi kamili wa Vyama Vingi

Mtemi Chenge na wenzake wanaodaiwa kuporwa Majimbo na Shujaa wanarudi kwa kasi akiwemo Stephen Maselle, Dr Mwakyembe nk...nk

Freeman Mbowe ameliamsha Dude dadeki 🐼

Mlale Unono 😀😀🔥
Wapi kasema hivyo? leta ushahidi
 
Tuweke tu Itikadi pembeni na tuseme Ukweli BAWACHA ni Taasisi Bora kabisa miongoni mwa Taasisi za Wanawake nchini

Nakumbuka Shujaa Maguful alijitwalia wabunge 19 kutoka Bawacha ndio hawa Akina Halima James Mdee...
Unatafuta kulogwa, unawalinganisha kina Zito Kabwela na BAWACHA,

Mtake radhi upesi, kabla hajaenda Kigoma kwenye ile nyumba yake iliyoungua moto,

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Tuweke tu Itikadi pembeni na tuseme Ukweli BAWACHA ni Taasisi Bora kabisa miongoni mwa Taasisi za Wanawake nchini

Nakumbuka Shujaa Maguful alijitwalia wabunge 19 kutoka Bawacha ndio hawa Akina Halima James Mdee...
Mkutano moja wa Mwal. C.Mwakasege ni sawa na mikitano 10 kibaraka 🐒
 
Back
Top Bottom