DODOMA wine haipatikani, kwanini?

DODOMA wine haipatikani, kwanini?

Tumeokoka huku.

MBALI kuokoka kwetu nafikiri ungemsadia kwa request kwa Mods jukwaa la WALEVI as knows as "cha/vya pombe" sasa ipo haja lianzishwe, wajibwede na kujinafasss at their zone.
 
hihihihiihii utakuwa na hiyo miwan hapo
kwenye avatar yako????

khaaa sasa unakuja saka dodoma wine
or mimi weweeeee!!!!!

mantakhof alhabiby flora.
Be spesifik na Tabata unayokaa ili nikija iwe rahisi kukutafuta!
 
Mkuu jaribu na IMAGI wine, inatoka pia Dodoma ni nzuri sana, bei 8,500/=.
 
Mkuu jaribu na IMAGI wine, inatoka pia Dodoma ni nzuri sana, bei 8,500/=.

usijali broda.
Da' Lizzy ameshanieleza mchanganuo wote, kinachofuata ni mpango mzima. Mpaka niishiwe hela!
 
hihihihiihii utakuwa na hiyo miwan hapo
kwenye avatar yako????

khaaa sasa unakuja saka dodoma wine
or mimi weweeeee!!!!!

najua unaipenda, unaitaka pia.
Sasa tusimwage kuku kwenye mchele wengi, tukutane PM afu tuwekane sawa,
ama?
 
Ni uzembe wa sales representative wa konyagi, lakini inatengenezwa kwa wingi na stock iko ya kutosha kiwandani!
 
Ni uzembe wa sales representative wa konyagi, lakini inatengenezwa kwa wingi na stock iko ya kutosha kiwandani!

Africana jinga sana!
Ili kitu ina marketing position nzuri sana, sijui kwanini wanafanya makusudi ivi.
Kitendo cha kuwa na undugu na Konyagi ni promo tosha, achilia mbali kigezo kuwa ni ya kwanza toka Tanganyika yenye ubora wa kimataifa.
I dont give a shit mazee!
 
Mvua dom zitakuwa hazijanyesha vizuri hivyo basi stock ya zabibu imekuwa adimu
 
Just in case you did not know.....Dodoma wine sell overseas! na mambo hiyo mkuu inakubalika sana "ng'ambo" hasa iliyowekwa kuanzia miaka 15 na kuendelea siyo rahisi kuipata hapa nchini ila inazwa nje ya nchi kwa bei juu. Ukiwa Dodoma just buy locally kule hombolo na makutupora ya kawaida inapatikana. Lakini pia kumbuka usiwe mlevi...walevi hawataingia mbinguni Biblia inasema hivyo.
 
thanks kwa ushauri,
mimi niko Tanzania a.k.a Dar es Salaam...
I badly need Dom Wine... Kwanini wamekomaa sana nje whilst they can make a lot here here?
 
Mvua dom zitakuwa hazijanyesha vizuri hivyo basi stock ya zabibu imekuwa adimu

kumbe?
Umenikumbusha back in time kule Uchagani watu walikatazwa kunywa 'dadii' kwa sababu ya kuadimika kwa mahindi.
 
Back
Top Bottom