Nauza wine safi ya Dodoma kwa bei nafuu

SOWETO_MAN

Member
May 4, 2021
69
32
Habarini za majukumu wakuu!,

Muhusika wa hii account ni mjasiriamali na mkulima mdogo ninae jihusisha na kilimo cha zabibu Dodoma kwa lengo kuu la kutengeneza Mvinyo (Wine) na wine hizo zapatikana katika ujazo wa lita 1, Chupa za 750ml,lita 5

Mgawanyo wa bei husika kwa kila ujazo ni kama ifuatavyo:
✓Ujazo wa chupa za 750ml ni Sh.6000
✓Ujazo wa lita moja ni Sh.7000
✓Ujazo wa lita 5 ni Sh.35000 tu...(Stock ipo ya KUTOSHA!)
Njia ya malipo ni cash na mikoani tunatuma pia
Kwa mawasiliano zaidi. 0763797102 / 0621599120 (Napatikana Dodoma)
IMG_20210909_112740.jpg
IMG_20210423_194824.jpg
 
Habarini za majukumu wakuu!,

Muhusika wa hii account ni mjasiriamali na mkulima mdogo ninae jihusisha na kilimo cha zabibu Dodoma kwa lengo kuu la kutengeneza Mvinyo (Wine) na wine hizo zapatikana katika ujazo wa lita 1, Chupa za 750ml,lita 5

Mgawanyo wa bei husika kwa kila ujazo ni kama ifuatavyo:
✓Ujazo wa chupa za 750ml ni Sh.6000
✓Ujazo wa lita moja ni Sh.7000
✓Ujazo wa lita 5 ni Sh.35000 tu...(Stock ipo ya KUTOSHA!)
Njia ya malipo ni cash na mikoani tunatuma pia
Kwa mawasiliano zaidi. 0763797102 / 0621599120 (Napatikana Dodoma)View attachment 1956970View attachment 1956972
Nahitaji hardwine lt 5 nipo mtwara
 
Unaweza kuhimili mahitaji yakilipuka?

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Hii tunayouziwa na masister wa Visiga wanaitoaga wapi mbona ipo poa na ni bei chee sana?? anakupa na kibobo cha lita1 sealed kwa 3000/ wapo kila juma5 na jumapili Kibamba Mnadani mi ni mteja wao mzuri.

Kumbe naweza kwenda kununua za jumla nikapiga hela??

Sina nia ya kukuharibia biashara Dar na Dom ni mbali sana
 
Aiseee!
 
Ndio mkuu Kuna changamoto mbili kuu hapa...kwanza ni usafirishaji maana tunazitoa huko mashambani (vijijini) ndio ije town then isafirishwe kwenda mikoani alaf pili inayo toka huku iko pure kwa kiasi kikubwa kwa maana hakuna kiwango kikubwa cha maji kinatumika kwenye uandaaji wake
 
Nimekuelewa mkuu basi hawa watakuwa wanaandaa wenyewe. Nipo Dom na Extention nakujaga sana ntakucheki nikuungishe na ntawaonesha wadau hapa.

Dom unafanya delivery? 75ml Nataka
 
Habarini za majukumu wakuu!,

Muhusika wa hii account ni mjasiriamali na mkulima mdogo ninae jihusisha na kilimo cha zabibu Dodoma kwa lengo kuu la kutengeneza Mvinyo (Wine) na wine hizo zapatikana katika ujazo wa lita 1, Chupa za 750ml,lita 5

Mgawanyo wa bei husika kwa kila ujazo ni kama ifuatavyo:
✓Ujazo wa chupa za 750ml ni Sh.6000
✓Ujazo wa lita moja ni Sh.7000
✓Ujazo wa lita 5 ni Sh.35000 tu...(Stock ipo ya KUTOSHA!)
Njia ya malipo ni cash na mikoani tunatuma pia
Kwa mawasiliano zaidi. 0763797102 / 0621599120 (Napatikana Dodoma)View attachment 1956970View attachment 1956972
Boss, mbona hujafanya product labelling?
Naona hivyo vidumu vya lita 5 viko uchi uchi; jaribu kuvivika nguo kidogo vipendezeshe biashara yako Aiseee!
Ni muhimu sana kufanya hivyo maana pia kuna kidogo masuala ya legal requirements.
 
Habarini za majukumu wakuu!,

Muhusika wa hii account ni mjasiriamali na mkulima mdogo ninae jihusisha na kilimo cha zabibu Dodoma kwa lengo kuu la kutengeneza Mvinyo (Wine) na wine hizo zapatikana katika ujazo wa lita 1, Chupa za 750ml,lita 5

Mgawanyo wa bei husika kwa kila ujazo ni kama ifuatavyo:
✓Ujazo wa chupa za 750ml ni Sh.6000
✓Ujazo wa lita moja ni Sh.7000
✓Ujazo wa lita 5 ni Sh.35000 tu...(Stock ipo ya KUTOSHA!)
Njia ya malipo ni cash na mikoani tunatuma pia
Kwa mawasiliano zaidi. 0763797102 / 0621599120 (Napatikana Dodoma)View attachment 1957009
IMG_20210423_194824.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom