DODOMA wine haipatikani, kwanini?

DODOMA wine haipatikani, kwanini?

najua unaipenda, unaitaka pia.
Sasa tusimwage kuku kwenye mchele wengi, tukutane pm afu tuwekane sawa,
ama?

ai weweeee
sa uku pm ndo wapi?
Ni sehem za posta mpya
or ni club mpya hapa town! Nielekeze bas
ntashukia kituo gani
napendagaaaa!!! Hahahaha lol
 
just in case you did not know.....dodoma wine sell overseas! Na mambo hiyo mkuu inakubalika sana "ng'ambo" hasa iliyowekwa kuanzia miaka 15 na kuendelea siyo rahisi kuipata hapa nchini ila inazwa nje ya nchi kwa bei juu. Ukiwa dodoma just buy locally kule hombolo na makutupora ya kawaida inapatikana. Lakini pia kumbuka usiwe mlevi...walevi hawataingia mbinguni biblia inasema hivyo.

this counry bhana sa kwanini wasiipromote hapa c tukainywa? Huko nje tunafaidi kwel?
 
ai weweeee
sa uku pm ndo wapi?
Ni sehem za posta mpya
or ni club mpya hapa town! Nielekeze bas
ntashukia kituo gani
napendagaaaa!!! Hahahaha lol

PM ni praiveti meseji,
kama hiyo nilokutumia sasa ivi.
 
this counry bhana sa kwanini wasiipromote hapa c tukainywa? Huko nje tunafaidi kwel?

sio hao tu. Hata TATEPA walikuwa wanapeleka nje yale majani ya kuloweka, sie huku wanatuachia ya kuchota na kijiko.
Job true true!
 
Back
Top Bottom