Mtumishiwetu
Senior Member
- Jul 13, 2022
- 187
- 334
Bwana weee Katiba Katiba yani tusimpongeze Waziri Aweso kwa ubunifu wake utakaosaidia wananchi tusubirie hadi Katiba mpya ambayo hatujui itakamilika liniKatiba mpya itasimamia aina ya teknolojia tunayoitaka kwenye KILA sekta na sio kwenye maji pekee na kutegemea utashi wa mtu pekee kama ilivyo Sasa!!
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!!
Katiba mpya itasimamia sekta ZOTE VIZURI Sana wala hakutakuwa na haja ya kutegemea utashi wa mtu kiasi KWAMBA hata wewe utaweza kusimamia malengo ya kitaifa BILA kuumiza kichwa kama ilivyo Sasa!Bwana weee Katiba Katiba yani tusimpongeze Waziri Aweso kwa ubunifu wake utakaosaidia wananchi tusubirie hadi Katiba mpya ambayo hatujui itakamilika lini
Kabuni waziri?Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ameweka jiwe la msingi katika mradi wa maji katika Kata ya Dabalo Wilayani Chamwino Mkoa wa Dodoma ambapo ametoa pongezi nyingi Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) na kwa kampuni ya PLASCO inayotengenenza matanki makubwa ya plastiki yaliyotumiwa katika mradi huo ikiwa ni kwa mara ya kwanza inatumika katika miradi ya maji nchini huku Waziri Aweso akiahidi kuwa Serikali itaendelea kutumia teknolojia hiyo badala ya ya ile ya kujenga kwani inatumia muda mfupi wa wiki mbili tu kuyaweka katika chanzo cha maji na yanadumu kwa muda mrefu wa zaidi ya miaka 70.
Mradi huo unaogharimu zaidi ya shilingi milioni 907 unatekelezwa na RUWASA chini ya Ofisi ya Meneja wa Mkoa wa Dodoma na Wilaya ya Chamwino kwa fedha za Mfuko wa Taifa wa Maji ambapo mkandarasi anayeujenga ni Medes Company Limited na unatarajiwa kuhudumia wakazi 8,134 utakapomilika Julai 30, 2022.
PoleUkiona mtu aliteuliwa na Magufuli ujue ana akili balaa na ukiona mtu alitumbuliwa na Magufuli ujue ni kilaza balaa
Ziwa liko karibu lakini maji hayapatikani, hii nchi hatujawahi kuwa na maji wala umeme wa uhakika ,lakini viongozi kila siku wanakuja na ngonjera za kupiga pesa tu na si suruhishoJiji la Mwanza halina maji lkn kila kukicha Aweso Aweso, upuuzi mtupu
Hizo Bomba zipo kitambo tuu ila Wizara ya Maji ndio walikuwa wanajivuta kutumia..Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ameweka jiwe la msingi katika mradi wa maji katika Kata ya Dabalo Wilayani Chamwino Mkoa wa Dodoma ambapo ametoa pongezi nyingi Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) na kwa kampuni ya PLASCO inayotengenenza matanki makubwa ya plastiki yaliyotumiwa katika mradi huo ikiwa ni kwa mara ya kwanza inatumika katika miradi ya maji nchini huku Waziri Aweso akiahidi kuwa Serikali itaendelea kutumia teknolojia hiyo badala ya ya ile ya kujenga kwani inatumia muda mfupi wa wiki mbili tu kuyaweka katika chanzo cha maji na yanadumu kwa muda mrefu wa zaidi ya miaka 70.
Mradi huo unaogharimu zaidi ya shilingi milioni 907 unatekelezwa na RUWASA chini ya Ofisi ya Meneja wa Mkoa wa Dodoma na Wilaya ya Chamwino kwa fedha za Mfuko wa Taifa wa Maji ambapo mkandarasi anayeujenga ni Medes Company Limited na unatarajiwa kuhudumia wakazi 8,134 utakapomilika Julai 30, 2022.
Hapa mbunifu ni PLASCO au Aweso!!Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ameweka jiwe la msingi katika mradi wa maji katika Kata ya Dabalo Wilayani Chamwino Mkoa wa Dodoma ambapo ametoa pongezi nyingi Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) na kwa kampuni ya PLASCO inayotengenenza matanki makubwa ya plastiki yaliyotumiwa katika mradi huo ikiwa ni kwa mara ya kwanza
Hayo matenki yamebuniwa na PLASCO na siyo Aweso!Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ameweka jiwe la msingi katika mradi wa maji katika Kata ya Dabalo Wilayani Chamwino Mkoa wa Dodoma ambapo ametoa pongezi nyingi Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) na kwa kampuni ya PLASCO inayotengenenza matanki makubwa ya plastiki yaliyotumiwa katika mradi huo ikiwa ni kwa mara ya kwanza inatumika katika miradi ya maji nchini huku Waziri Aweso akiahidi kuwa Serikali itaendelea kutumia teknolojia hiyo badala ya ya ile ya kujenga kwani inatumia muda mfupi wa wiki mbili tu kuyaweka katika chanzo cha maji na yanadumu kwa muda mrefu wa zaidi ya miaka 70.
Mradi huo unaogharimu zaidi ya shilingi milioni 907 unatekelezwa na RUWASA chini ya Ofisi ya Meneja wa Mkoa wa Dodoma na Wilaya ya Chamwino kwa fedha za Mfuko wa Taifa wa Maji ambapo mkandarasi anayeujenga ni Medes Company Limited na unatarajiwa kuhudumia wakazi 8,134 utakapomilika Julai 30, 2022.